Habari zenu wana Love Connect,
Mimi binafsi nilipata mwenza nakufunga nae ndoa nilimpata hapa love connect. Hivyo kutokana na hilo nina rafiki zangu wanatafuta waume wa kuanzisha nao mahusiano na mwisho kufikia kufunga ndoa.
Labda nisiwachoshe sana, niende kwenye wasifu wao kama ifuatavyo...
Natafuta mchumba umri kuanzia miaka30-35
Awe mkristo (asiwe sabato)
Awe na kazi yakumuingizia kipato.
Aliyetayali kuwa mume wamtu na anaejitambua nakujieshimu.
Nb.sitaki brah brah njooo pm nautume picha zako first SMS zote zitajibiwa pm
Nanyie wenye mapovu ruskaa povukeni.
NB: ni binti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.