Recent content by Amosi msigwa

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nauli ya Daladala za M/Complex-Chanika

    Dawa waanzishe utaratibu wa kupanga foleni kama wanavyofanya abiria wa Mbezi kwenda makabe au Msumi,daladala likifika mwisho abiria wote shuka wanaanza kuingia waliopo kwenye foleni kupanga ni kuchagua
  2. A

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya ndege za NATO vyalipuliwa na kuchakazwa vibaya

    Wewe hautaki tushuhudie 3rd war ,hizo mbili zilizokuwa tulikuwa hatujazaliwa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako juu ya kauli ya Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso?

    Ikiwezekana fukuza wote,kuanza moja si ujinga ati,ila sikfundishi mjomba Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo

    Ukimkata akiwa amefariki unakuwa umevunja masharti
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Watanzania ya kuzaa hovyo ndiyo chanzo cha umaskini. Bodaboda ana watoto sita! Hata Serikali inashindwa kupanga mipango

    Hawaji kuomba lakini hao ndio wanaotukatia madirisha na kutupiga roba
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyefanyiwa vitendo vya udhalilishaji ni Shujaa na mfano wa kuigwa na wanawake wengine

    Bora ingekuwa Alphard maana hilo ni getto lenye kitanda kabisa
  7. A

    JamiiForums Tanzania MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

    Kwa sababu kesi zote za jinai Jamuhuri ndio mlalamikaji na muadhika ni shaidi tu,kwa hiyo itoshe kusema tu,mlalamikaji ndiye ndiye aliyetoa rushes kumpooza victim
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mchepuko kaomba godoro, wapi nitapata kava nzuri za godoro niweke kwenye godoro ambalo silitumii

    Angalia uwezo wa mtu ndugu,unataka siku akimtosa au kumfumania amcharande mapanga
  9. A

    JamiiForums Tanzania Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Jumanne Muriro siyo RPC ni ZPC
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

    Hata ukiwa na million 2 tayari wewe ni millioaires
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

    Huku yapo yakutosha ninayoyajua ni Kama 7 Mimi mwenyewe nilishangaa hadi huku porini Chanika
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dar to Iringa na Boxer naombeni uzoefu wenu

    Ukiona eneo lina swala,pundamilia na twiga kwa wingi jua eneo hilo halina simba na ndivyo ilivyo mikumi pembezoni mwa barabara,nimesha pita na pikipiki Kama mara mbili.
  13. A

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

    Hata Kama wewe ni dereva mama.yako kakaa kushoto kwa dereva na Kuna ajari ya uso kwa uso ni lazima utalengesha upande aliokaa mama yako ili wewe unusulike hivyo ndivyo binadamu tulivyoumbwa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

    Kweli kabisa,watoto waliozaliwa juzi juzi hawajui kabisa miaka hiyo ya 1980 nchi ilikuwa ina hali gani
Back
Top Bottom