Recent content by Amosi Hezron

  1. Amosi Hezron

    Series (Special thread)

    Ngoja nikaanze kuangalia
  2. Amosi Hezron

    Jukumu letu kujifunza wakati wa kunyamaza na kutoa neno

    #FikraZangu Kila neno huwa na matokeo yake aidha chanya au hasi, aidha ya kujenga au kubomoa LAKINI pia kila ukimya huwa na matokeo yake aidha chanya au hasi. Jukumu letu ni kujifunza wakati gani wa kutoa Neno na wakati gani wa kunyamaza
  3. Amosi Hezron

    Umahiri wa mbwa aina hii

    Mbwa huyu anae julikana kwa Jamii ya Belgianmalinois ni mbwa ambae wanaupekee kwa ulinzi,upendo katik familia pia ni rahisi kufundishika na wananidhamu mno they are the best choice for a guard dog they are available
  4. Amosi Hezron

    Series (Special thread)

    THE COBENANT IS ACTUALLY GOOD TO WATCH
  5. Amosi Hezron

    Series (Special thread)

    Iko vizur
  6. Amosi Hezron

    Mmiliki yoyote wa jengo huwajibika kwa kushitakiwa kwa madhara ya yanayoweza kuwapata watumiaji

    #SheriaZetu Kwa mujibu wa Sheria ya Daawa "Law of Torts" - Mmiliki yoyote wa jengo huwajibika kwa kushitakiwa na kulipa fidia kwa madhara yoyote yanayoweza kuwapata watumiaji wa jengo husika ikiwa watapata madhara yanayotokana na hitilafu yoyote wakiwa ndani ya jengo husika
  7. Amosi Hezron

    Mtanzania ameshinda tuzo ya Mfalme Charles III wa Uingereza ijulikanayo kama Prince’s Trust

    MSICHANA wa Kitanzania, Zamana kutoka Kijiji cha Irente Juu, Kata ya Magamba Wilaya ya Lushoto ameshinda tuzo ya Mfalme Charles III wa Uingereza ijulikanayo kama "Prince’s Trust Award". Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2015 na Mfalme Charles III, wakati huo akiwa bado ni mwana wa Mfalme (Prince of...
  8. Amosi Hezron

    Kuna nyakati Mungu hutupitisha nyakati ngumu kutufundisha rafiki/ndugu wa kweli

    Kuna wakati Mungu hutupitisha katika Nyakati Ngumu sio kututesa bali Kutufundisha kuhusu nani ni Rafiki/Ndugu wa kweli na nani ni mtu/rafiki wa Nyakati nzuri tu. Bila kupitia katika Njia hizo za shida pengine tusingeweza Kutambua rangi halisi za Rafiki/ndugu
Back
Top Bottom