Recent content by Amos kimath

  1. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Crdb more info here

    What is the length of the word Crdb. Know more about this bank. | African culture
  2. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Wasichana mnavutiwa na nini hasa kwa wanaume?

    Perfect
  3. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Huu Ndio Ukweli ambao Kirumi imeamua kuuachia katika kipindi hichi cha mfungo wa kwalezima <br /> <br /> Bwana akamwambia Musa, "Tengeneza nyoka za moto, na kuliweka juu ya pole, na kila mmoja aliyeumwa, wakati yeye inaona, wataishi. " Basi Musa akafanya nyoka ya shaba ... <br /> <br /> Hesabu...
  4. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Simu nyingi sana zenye android system 6.0 yan marshmll,huwa system yake ya kuruti ni strong sana,,lazima uanlock bootloder sana sana TECNO , ila ukitumia kingroot,kingoroot utachelewa sana kwanza aikubali,
  5. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Mtaalam asema Watanzania tujiandae kwa Msiba mzito muda wowote Daraja la Mto Wami

    Subira yavuta heri ,, lisemwalo lipo kama silo laaja..
  6. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Nina pesa za zamani za Tanzania kuanzia 1966, natafuta soko

    Acheni kukurupuka kama vijana wa sasa , soma kitu kabla ya kukijibu tafakari alaf chukua mda kusoma kama nikweli pesa izo zinatafutwa au laaa..! Sio unajibu sms chafu chanzo ukijui ..
  7. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Nina pesa za zamani za Tanzania kuanzia 1966, natafuta soko

    Kweli kabisa
  8. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Ok nzuri sana iyo apps
  9. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Inaitwaje iyo apps
  10. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Ukirestore kwan siitakua rooted mkuu
  11. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Mkuu naomba msaada wa apps nzuri ya fonts kwenye simu ya TECNO C9...nimeroot ila nikidownlod ifont kwenye playstore niki badili ina change kwenye browser tu ila kwenye kichwa cha simu aibadiliki...
  12. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Naomba link yake
  13. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Kingroot 2.0 haipo ndugu yangu ipo 4. Kwenda mbele
  14. Amos kimath

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Nina simu yangu ya aina ya TECNO nikijaribu ku root inakataaa, je ni kingroot gani au ni apps gani inaroot vision 6.0 marshmallow
Back
Top Bottom