Recent content by amore

  1. amore

    Namna ya kubadili lugha katika radio& oil ya Gear box

    Naomba kufahamishwa namna ya kubadili lugha katika radio (Japanese to English ) au kama kuna program ya ku change vile vile naomba kufahamu oil nzuri ya gear Box kwa IST car
  2. amore

    Computer4Sale Nauza laptop hp

    Nchi 13 nipo tabata Barakuda Sent using Jamii Forums mobile app
  3. amore

    Computer4Sale Nauza laptop hp

    Laptop iko sokoni probook 6360b RAM 4GB 64bit operating system processor Intel(R) core i5 cpu@2.5GHz HDD 500 window 7 390,000 Tsh Sent using Jamii Forums mobile app
  4. amore

    Je, naweza pata laptop gani nzuri

    Ongeza kidogo nikipatie yangu hp probook 6360b processor intel core i5 cpu@2.5GHz RAM 4GB HDD 500 window 7 inch 13’ iko katika hali nzuri ukitaka nmeupgrade thus why naiuza picha ntakutumia pia kama uko Dar itapendeza zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. amore

    Nacte guide book 2018/2019

    Habarini za muda huu wakuu naomba msaada mwenye guide book NACTE 2018/2019 kwenye website NACTE inagima kushuka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. amore

    Msaada: Kioo cha microsoft lumia 535

    mrejesho nmefanikiwa mwanza kioo na ufundi 30000.
  7. amore

    Msaada: Kioo cha microsoft lumia 535

    thanks wacha nifuatilie ......
  8. amore

    Msaada: Kioo cha microsoft lumia 535

    bei gani mkuu na kina effect yeyote katika function badaa ya kubadilishwa
  9. amore

    Msaada: Kioo cha microsoft lumia 535

    habari zenu wana jukwaa ..... naomba msaada kwa simu tajwa juu nmedondosha na touch inarespond kwa shida ............ je kuna spare zake ( like kioo chake naweza badilisha?)
  10. amore

    msaada microsoft lumia 535

    nmefanikiwa asantee
  11. amore

    msaada microsoft lumia 535

    nimatumain yangu muwazima wanajukwaa naomba kusaidiwa namna gan naweza install program katika simu hii kwan currently nmefanya ku un install what app kutokana na ukubwa wa data ulijaza simu nilivyojaribu install inakataa had niwe kwenye wifi cz ni byte kubwa kwa cellular data though nna budle ya...
  12. amore

    Microsoft Lumia 535

    hahah nmewahi sitasahau ila nilitoka japo siku nxima nilikuwa sipo net na niliboreka saaana
  13. amore

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Vyovyote unavyoona iwe mimi au la, asante kwa msaada nitatendea kazi.
  14. amore

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Habarin za mida wakuu, nmejitokeza kuomba msaada juu ya tatizo hili nina ndg wa karibu anasumbuliwa na hili tatizo awali tulidhani ni uvivu pia ataacha atakavyokuwa anakua ila sasa imekuwa tatizo kwan amekua binafsi anasema anakuwa hajitambui, hivyo mwenye msaada dawa namna gan tatizo hil...
Back
Top Bottom