Recent content by Amon

  1. A

    Piga kura ya NDIYO au HAPANA makubaliano ya UKAWA

    Ndiyoooooooooooooooo!!
  2. A

    Katibu mkuu wa NDANDA FC ajiuzulu

    Kwa niaba ya wapenda soka wote, wamrudishe huyo kocha na wamwombe radhi, wakumbuke walikotoka na huyo kocha, ni mbali saaaaanaa!! na kama si huyo kocha wasingekuwa hapo walipo sasa!
  3. A

    Taifa Stars itafungwa goli 4-1, Mart Nooij atatupiwa virago

    Mdau, UTABIRI WAKO umekuwa kinyume chake, T/Stars 4-Benin 1, mpira tulocheza leo hakika ni wa kimataifa. Naiona kwa mbali T/stars inakuja sasa, Hongereni T/Stars na Watanzania kwa ujumla.
  4. A

    Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Alivyosema kocha wa benin kabla ya mechi na t/stars leo saa 11 jioni Taifa Stars yaivaa Benin Naye kocha wa Benin, Olle Didier Nicolle alisema wamejiandaa vizuri kushinda mchezo huo na anaamini utakuwa mchezo wa amani na ushindani kwani lengo lake ni kuandaa timu itakayoshiriki mashindano ya...
  5. A

    Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Alivyosema kocha wa benin kabla ya mechi na t/stars leo saa 11 jioni Taifa Stars yaivaa Benin Naye kocha wa Benin, Olle Didier Nicolle alisema wamejiandaa vizuri kushinda mchezo huo na anaamini utakuwa mchezo wa amani na ushindani kwani lengo lake ni kuandaa timu itakayoshiriki mashindano...
  6. A

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Ndugu Raisi wa TFF: (1) Maombi kuhusu kuandaa mashindano ya AFCON 2017 mmefikia wapi kwani mwisho tarehe 30/09/2014? (2) Nini mipango ya TFF kuhusu timu yetu ya taifa? Je 2017 tutashiriki AFCON?
  7. A

    AFCON 2017: Maombi ya maandalizi

    Ndugu wadau, mwisho ni tarehe 30/09/2014, nchi zilizokwishatuma maombi ni "Kenya, Algeria, Ethiopia, Ghana, Mali na Zimbabwe zinawania kuandaa makala ya 2017 baada ya Libya kujiondoa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama nchini humo." Source-BBCSWAHILI-ONLINE. Wadau mbona sijaona jina la...
  8. A

    Sababu Za Kupinga Utengenezaji Wa Coin Ya Tsh 500 Nchi Tanzania Sasa

    RPRJRT (Right PEOPLE, Right Job, Right Time) Ama kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
  9. A

    Tanganyika imerudi

    ndiyo irudi haraka sana
  10. A

    Top 200 newpapers in the world

    Top 200 Newspapers in the world 4imn.com Newspaper Web Ranking 1 The New York Times United States 2 The Guardian United Kingdom 3 The People's Daily China 4 The...
  11. A

    Watanzania, "Na Shadrack Nsagigwa nae sijui yuko wapi" ??

    Beki mahiri, kisiki, mtaalamu wa kupiga yale mashuti ya penalti, aliyewahi kuwa kepteni wa Taifa stars na dawa ya washambuliaji je yuko wapi?
  12. A

    List of referees for chan-2014

    LIST OF REFEREES FOR CHAN 2014 SOUTH AFRICA NO REFEREES COUNTRY 1 SIKAZWE JANNY ZAMBIA 2 KIRWA SYVESTER KENYA 3 KHAIRALLA MUTAZ ABDELBASIT SUDAN 4...
  13. A

    Answer please...

    1 :happy:
  14. A

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Dr. Slaa
Back
Top Bottom