Mapokezi aliyopewa Zitto Kigoma- Ni kwanini hakuna alama (Bendera, Kombati, n.k) za CHADEMA

Nimefuatilia sana picha nyingi zilizowekwa humu JF toka Kigoma wakati wa mapokezi makubwa aliyopewa Mhe. Zitto Zuberi Kabwe.

Cha kushangaza alama za CHADEMA wala sikuziona za kutosha.

Hii inaamnisha nini? Je inawezekana ikawa kwamba waandaaji wa mapokezi yale walisahau bendera na makombati yao ofisini/nyumbani?

Fuatilia picha hizo hapa chini kwa hisani ya: Tema Mate

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nayojiri-kigoma-katika-mapokezi-ya-zitto.html

CCM wameratibu mapokezi hayo, tuamini hivyo.
 
we tulia tu karibuni utajua sababu za kutokua na alama za chadema katika mapokezi yale. Chama kipya kipo njiani, na ukapenda au usipende, wanachama wa chama hicho kipya nikutoka chadema. Hii ina maana gn? hii ina maana kuwa CDM imemeguka na kura zao za 2015 zaidi ya robo zimeyeyushwa na Zitto. vinginevyo kwa ushauri tu wa kukinusuru chama chenu Mrejesheni Mh. Zitto haraka ktk nyadhifa zake zote bila ya masharti ili kuepusha hali isiwe mbaya zaidi.
 
Kila la kheri kuanzisha chama kipyaa
 
Nimefuatilia sana picha nyingi zilizowekwa humu JF toka Kigoma wakati wa mapokezi makubwa aliyopewa Mhe. Zitto Zuberi Kabwe.

Cha kushangaza alama za CHADEMA wala sikuziona za kutosha.

Hii inaamnisha nini? Je inawezekana ikawa kwamba waandaaji wa mapokezi yale walisahau bendera na makombati yao ofisini/nyumbani?

Fuatilia picha hizo hapa chini kwa hisani ya: Tema Mate

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nayojiri-kigoma-katika-mapokezi-ya-zitto.html
moja kwa moja inaonyesha kwamba,sio wanachama wa chadema
 
ukiangali hizo picha utaona mwenyewe zitto kavaa gwanda nyeusi za chadema kwa kujua ya kwamba bila ya msaada wa cdm yeye asingekuwa hapo alipo
 
KIGOMA.jpg Acha uzushi wewe hiyo ni nini kama sio bendera ya chadema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom