nadhani waliingia kwenye ligi na mtazamo wa kuwa kama mbeya city ilivyokuwa mwaka jana...wavute subiri siku wakikutana na simba wataifunga!!Ni Kweli, hawa ni wageni wa LIGI KUU wana mambo mengi ya kujifunza...
nadhani waliingia kwenye ligi na mtazamo wa kuwa kama mbeya city ilivyokuwa mwaka jana...wavute subiri siku wakikutana na simba wataifunga!!
hawa Ndanda mbona wamekosa uvumilivu kama zile timu kongwe!!walitarajia kupanda daraja na kufunga kila timu wanayokutana nayo
hawa Ndanda mbona wamekosa uvumilivu kama zile timu kongwe!!walitarajia kupanda daraja na kufunga kila timu wanayokutana nayo
Ni baada ya kutimuliwa kwa kocha Denis kitambi kutokana na matokeo mabovu, sasa katibu mkuu wa timu hio bwana Edmund Njowoka amejiuzulu...
mbona mikia tiyari wameshatimua kocha wa makipa? ama yeye sio kochaHii ni orodha ya makocha ambao watamfuata Denis Kitambi kufutwa kaz kabla ya msimu wa ligi kuisha katika vilabu vinavyoshiriki ligi kuu Tanzania, 1. Patrick Phiri-simba sports club, 2. Fred Felix Minziro- Jkt ruvu, 3. Marcio Maximo-Yanga.
hawa Ndanda mbona wamekosa uvumilivu kama zile timu kongwe!!walitarajia kupanda daraja na kufunga kila timu wanayokutana nayo
aiss...hebu tuhamie stendi united busi!!Shangaa na wewe, wanadhani ligi ya mchangani hii, nilikuwa najipanga kuanza kuwashabikia naona nao ni wale wale tu, sitawashabikia tena