Recent content by Amon simion

  1. A

    Kuitwa kwenye usaili.

    Thanks for ushauri wako kiongozi ntajaribu kuwafuata maana maisha ni kutafuta mkuu. Kukata tamaa ni baada kifo.
  2. A

    Kuitwa kwenye usaili.

    Wapendwa wana jamii, Naomba nifahamu, Nimeitwa kwenye usaili, Nimefanyiwa usaili, Nikaambiwa ningepigiwa simu kujulishwa, Mpaka leo sijapigiwa, Sasa swali langu ambalo nahitaji ushauri, Je? Ninaweza kufuatilia jibu au la?
  3. A

    Enyi wanawake hivi wanaume nao wana sukari tofauti?? . . .Lol!

    Da umenena kwa mfano jamaa ana inch 4 ikisimama inakuaje? Anakufikisha kweli? Na raha unaipata?
  4. A

    natafuta bwana

    Sifa zote mi nnazo lakini napendelea zaidi 0713, vipi utani-accept?.
  5. A

    Jinsi ya kumuandaa mke haraka zaidi

    hamjamuelewa mwenzenu huwa anaing'oa hiyo k ya mkewe anaichemsha kwenye sufuria na moto mkali kuuwa vijidudu, Ama kweli akili ya kuambiwa changanya na yako toa maamuzi ( jiongeze men)
  6. A

    Kila akitongozwa anasema!

    Yaaniiii daaaaa, akitongozwa akimtolea nje anakwambia, yaaaniiii daaaaa akim accept anauchuna hakwambii ana do kweli yaaaaniiii daaaa mkuu chunguza kimya kimya utanipa jibu.
  7. A

    Unadhani huyu mama alifanya maamuzi sahihi?

    sawa nakuunga mkono, Lakini kumbuka mkuki kwa nguruwe, kwa binaadam uchungu. Kumbuka alipomuacha mkewe akaoa (HG) Mkewe hakuumia, ama kweli tenda wema nenda zako, Na ndio maana mkewe wa mwanzo anamlelea watoto wake. Malipo yapo duniani.
  8. A

    Mwanaume mzima unashika shika........!

    Da pole mwanawane! Inawezekena umefunikwa kwenye chungu, yaani eti''Mwanaume zima unashikashika mikoba ya wanawake we vipi??'' Halafu anakuuliza swali we vipi? Nawe mzee kimyaaaaa. Au mzee una mwezi haujamru kia nini ndio maana anakuuliza we vipi?, skia; mkeo hana cha kukuficha katika...
  9. A

    Kwa Hili Kwa nini Tusitafute Nyumba ndogo!

    Duuuuuuu! Wake 4, mahawara 7, Kweli una-expiriance ya kutosha.
  10. A

    Bubu anipa kibembe cha kwanza 2013, anitoa jasho huuu!!

    Umeuanza vizuri mwaka, Hongera!!!!!
  11. A

    Njia za kutongoza mwanamke akakupenda daima

    Da we kiboko yani siku ya kwanza tu, usha mtia bottle la wine siju umpeleke kwako, Kaa chonjo maisha magumu haya, Akipaona tu tu kesho anakuja na begi lake, Ukimuuliza jibu lake, ''Nahamia digilal'' utamfukuza? Wakati shida yako ilikua kuduchua tu.
  12. A

    Naombeni msaada wadau coz me cjui story gan naweza kupiga na demu wangu azd kunpenda

    Mi nakushauri nenda kamuulize baba ako atakupa ushauri wa maana jinsi ya kupiga story na demu wako, Naamini yeye atakupa ushauri wa maana kwani yeye ndie mwalimu wako wa kwanza kimaisha.
  13. A

    Nilimshauri lakini hakunisikia kosa langu nini?

    Du, mkuu kwa hiyo wewe ukiona mwizi anavunja nyumba ili aibe utamwangalia tu? Njia za kuzuia uhusiano huo mbovu, zilikuwepo nyingi sana. Lakini pole unapaswa kulaumiwa.
  14. A

    Nitakufa Mara Ya Pili

    Da ndugu yangu kama nistory ya kweli du; si mchezo wachawi wanafaa kupigwa mapanga sio wa kuwaacha, kama umetunga mzee- --, una-bonge ya talent. Si mchezo. Bonge la mwandishi. BIG UP.
Back
Top Bottom