Njia za kutongoza mwanamke akakupenda daima

Hapo mwisho umehitimisha vizuri,hii itafanikiwa kwa wale wenye kutaka true love ila kwa wale wa no money no honey utakesha na maneno yako!
 
Hizi nadharia labda huku kwetu Nantimbwilimbwi.
Na kama hapo uliposisitiza kwamba kwa Mwanamke wa kuweka ndani maishani sawa kabisa.
Lakini hawa wengine Mkwanja mbele kama Tai mkuu.Ni kama Embe unanunua unakula kokwa unatupa,
kesho unanunua embe jingine.
 
Hawa wanawake wa sikuhizi dawa yao ni pesa tu hakuna maneno mengi. Hata ukiwa mbaya wa sura lakini ukiwa na pesa unakuwa handsome ghafla na watakuganda kama ruba.Pesa ndo habari ya mjini kwa sasa!!
 
Akikubali kutoka na wewe kwenda labda dinner au lunch ujue kakubali, jipange na sio maneno maneno. Kwanza uwe na Galaxy III (au HTC One X, ukiweza iPhone 5 umemaliza) na Ki-BlackBerry, mnaongea huku unatelezesha vidole kwenye simu sio mambo ya kubonyeza kipad.

Vile vile ukumbuke kwamba swala la usafiri ni muhimu, sio mtu anaogopa kunywa wine kisa atapanda daladala baada ya hapo! Nani anataka kuyumba yumba kwenye dala dala?

Hakikisha hushangai shangai bili ikija lipa! Muulize kama atapenda kubeba wine ili muondoke na chupa moja la kwake. Sasa muda wa kuondoka kama ni jioni (hiyo ni dinner) muulize kama atamind umpitishe apaone kwako ili siku nyingine akitaka kuja kukutembelea aweze kuja moja kwa moja.

Kwa mbinu hizi chache mzigo ni wako siku hiyo hiyo unamaliza. Digitali haina chenga!
 
wee ndio unajua wanawake...huyo analeta nadharia zake hapa wakati practical watu wanaangalia mfuko wako

Kweli kabisa wakati wa nadharia ushapita tena siku hizi wanamsemo wao ''THE DEEPER THE POCKET THE DEEPER THE LOVE'' hapa nadharia haina nafasi siku hizi wanataka kula mbuni sio bata!!!
 
Akikubali kutoka na wewe kwenda labda dinner au lunch ujue kakubali, jipange na sio maneno maneno. Kwanza uwe na Galaxy III (au HTC One X, ukiweza iPhone 5 umemaliza) na Ki-BlackBerry, mnaongea huku unatelezesha vidole kwenye simu sio mambo ya kubonyeza kipad.

Vile vile ukumbuke kwamba swala la usafiri ni muhimu, sio mtu anaogopa kunywa wine kisa atapanda daladala baada ya hapo! Nani anataka kuyumba yumba kwenye dala dala?

Hakikisha hushangai shangai bili ikija lipa! Muulize kama atapenda kubeba wine ili muondoke na chupa moja la kwake. Sasa muda wa kuondoka kama ni jioni (hiyo ni dinner) muulize kama atamind umpitishe apaone kwako ili siku nyingine akitaka kuja kukutembelea aweze kuja moja kwa moja.

Kwa mbinu hizi chache mzigo ni wako siku hiyo hiyo unamaliza. Digitali haina chenga!

Vijana mna shida nyinyi? Mambo yote kisha mbunye.. Mi nachoelewa msichana kukukataa labda kama una vigezo,,, first unapotoka, pili cv yako, income kiaina, appearance, hapo hata kama una nokia tochi akukatai...

Maana simu sio zinazompa uhakika wa kuishi maisha mazuri,, atakuangalia wewe as a package,,,,
 
Da we kiboko yani siku ya kwanza tu, usha mtia bottle la wine siju umpeleke kwako, Kaa chonjo maisha magumu haya, Akipaona tu tu kesho anakuja na begi lake, Ukimuuliza jibu lake, ''Nahamia digilal'' utamfukuza? Wakati shida yako ilikua kuduchua tu.
 
nimeipenda hii
 
Ukinisoma vizuri wewe na mimi hoja ni moja, income ataisoma kwenye simu ulizonazo, usafiri na kwenye kulipa bili, unapotoka taisoma utakapompitisha kwako huku akiona kochi, Smart TV 50" atakubali mwenyewe.

Kumbuka wimbo wa Ng'air wa Gheto langu, atasema apumzike kidogo (kumbuka ana wine kichwani). So ili uweze kummanage mwanamke tafuta pesa kwanza.

Mbunye ndo kila kitu kwenye haya maisha, kumbuka ile mtu unasema nataka nipate hela niwe na famila nzuri etc Unapata wapi familia bila mbunye? Huo ndo mwanzo na mwisho wa maisha.

Hivi unafikiri kama sio hii kitu watu tungehangaika na haya maisha? Unapata msosi unalala unasubiri kesho, sifa zote hizi wanaume wanazozitafuta ni kwa ajili ya mbunye. Imagine una mihela yako yote hafu mashine imekatwa kama stori ya Chai Chungu! Nini faida ya maisha.
 
Da we kiboko yani siku ya kwanza tu, usha mtia bottle la wine siju umpeleke kwako, Kaa chonjo maisha magumu haya, Akipaona tu tu kesho anakuja na begi lake, Ukimuuliza jibu lake, ''Nahamia digilal'' utamfukuza? Wakati shida yako ilikua kuduchua tu.

Haumfukuzi, unamwambia bado unainjoi maisha. Kwani ulimwahidi kumwoa?
 
hahaaaaaa show me what you got young men, that wahts they say, weee unaleta story hapa wakati manka katumwa pesa niaje jombaa utabaki na story zako arifu
 
Hawa wanawake wa sikuhizi dawa yao ni pesa tu hakuna maneno mengi. Hata ukiwa mbaya wa sura lakini ukiwa na pesa unakuwa handsome ghafla na watakuganda kama ruba.Pesa ndo habari ya mjini kwa sasa!!
We jidanganye tu afu umfate mdada wa watu katulia, na mafujo,maswali ya hovyo na makelele huku ukijiaminia na mahela yako uone kama hajakuaibisha mbele ya umati.Hapo ndo utajua ikiwa pesa pekee ndo dawa ya wadada.
 
Back
Top Bottom