Recent content by AMKA

  1. A

    Kitimoto is overrated haina utofauti wala utamu kuliko nyama zingine..

    Sawa mana kila mtu anacho kimpendezacho
  2. A

    Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    Naona unatafuta mlango wa kutokea kwa mara ingine
  3. A

    Bundi kutua tena CCM!

    Kitaeleweka tu
  4. A

    ITV imepotosha habari ya usiku juu ya Magufuli

    Vyombo vingi vya habari vinapotosha kuhusu kampeni za magufuli
  5. A

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Aende tu mi kura yangu bado ni ya lowasa no matter what
  6. A

    Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    Aennde tu mana hakunna namna nyingine lakini ukawa tunasonga mmbele daima
  7. A

    Hongera DC Makonda sasa madereva kufanyakazi masaa manane

    Daladala za serikali aau zaakwake??
  8. A

    IGP tusafishie kituo cha polisi Kimara, kinanuka rushwa

    Ni kweli mkuu kimara wamezidi kwa rushwa
  9. A

    Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

    Mnafiki sana huyo zito hana jipya ajiunge tu na maccm wenzake
  10. A

    Gari la Polisi msafara wa Waziri Mkuu lapata ajali

    Haana faida na sisi wafe tu mbona wanaua raia kama sisimizi
Back
Top Bottom