Recent content by AMKA SASA

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mangula ataja vigezo 13 vya urais: Kama huna pisha wengine

    hivi kwa nini mgombea yeyote wa CCM anapotangaza nia halafu akagusia UFISADI, kila mtu anakuwa anadhani anamuongelea Lowasa??
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Mabango ya Matangazo

    huna sample na bei zake?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake, napungukiwa nini?

    uasherati ni nini?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake, napungukiwa nini?

    vipi Apologise?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake, napungukiwa nini?

    mkuu Bible imeandika mtu asimuache mkewe isipokuwa kwa UASHERATI, sasa mtu ambaye hana ndoa anakuwaje na mke?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake, napungukiwa nini?

    uasherati ndo kosa gani?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake, napungukiwa nini?

    itakuwa mkuu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake, napungukiwa nini?

    tatizo nikiwa na wa hivyo bado nitaendelea kutamani wa nje.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake, napungukiwa nini?

    nimeamini humu tunapotoshana sana.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake, napungukiwa nini?

    Kila siku naona mijadala humu kwamba heshima pesa, shikamoo makelee, pia mnasema kama huna pesa wanawake wakali utaishia kuwaita shemeji tu. Mimi nina kila kitu lakini wanawake wakali, wenye shape za hatari, walioumbika kwa ile namba 8, waliojaliwa neema za allah kila nikiwatupia ndoano...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mabinti hebu nithibitishieni hili

    Barua ya kuomba kazi ya mtu asiye na vyeti huwa ni ndefu sana kuliko ya mwenye vyeti, mwenye vyeti anasema tu refer atachment 1, lakini asiesoma anatoa wapi attachment? hapo lazima aseme sana sana ndo aeleweke.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kitabu - Nikope wapi?: Kwa Wajasiriamali

    Pamoja sana mkuu.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Maofisini huku nako ni zaidi ya ukuonavyo, mambo siku zote ni nje ndani

    Sijui unajiamini nini tu, kila siku unaandika limakala refuuuu, sijui wasomaji unawatoa wapi, au unajua watasoma tu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kitabu - Nikope wapi?: Kwa Wajasiriamali

    Natarajia kuingiza kitabu hicho sokoni muda wowote kuanzia sasa, nitakuwa pia nakiuza kama soft copy. Kitabu hicho kimefanya uchambuzi wa aina mbalimbali za mikopo, kimelinganisha na kufanya uchambuzi wa mikopo na riba toka taasisi mbalimbali za kifedha na kutoa mapendekezo kwa wajasiliamali...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Amka sasa nimeingia kuwaamsha

    hujanielewa mkuu, hapa inacholalamika ni ile hali ya kuwa too much kwenye mapenzi tu, watu wanashinda hapa, majukwaa ya maana hata hawaendi.
Back
Top Bottom