[QUOTE="amiry123, post: 21042246,
HILI LA KUSEMA ETI SINA HOFU YA MUNGU COZ NAFANYA KIWANDA CHA BIA LINAKAJE WAUNGWANA? JE NISIFANYE KAZI AU NIDANGANYE NDO ITAONEKANA NINA HOFU YA MWENYEZI MUNGU?
NIMETAFUTA KAZI KILA KONA NA HAPA NDIPO NILIPO PATA NA SI KWINGINE;
SINYWI NA WALA SIITAMANI...
habari zenu wapendwa!
naitwa Amiry Samiry ni kijana wa miaka 29 now
kabila langu Mbondei wa Tanga Muheza
Dini yangu Muislam.. ninafanya kazi Serengeti kiwanda cha bia Moshi mkoani Kilimanjaro
nimejitokeza hapa kutafuta MCHUMBA ambaye nahitaji ajitambuwe na awe tayari kuwa mke wa mtu yaani...
Hamjambo wanajukwaa hili?
Nilikuwa nikipitapita wapi nitapata mpenzi; ndipo nimejikuta kutokea hapa JF (Love Connect) nikavutiwa napo naamini wengi waliopo hapa ni watu wasomi na waelewa pia wastaarabu tofaut na mitandao mingine!
Naitwa Amiry Samiry wa Arusha; nina umri wa miaka 29; ni mfanya...
mi humu ni mgeni lakini kuna mambo kiukweli yamenichukiza tena sanaa
najiuliza wewe kama unakuta mwanaume mwenzio kapost humu anatafuta mpenzi/mchumba kwa vigezo vyake...we kinakukera nini?
unakuta lijitu limeng'ang'ana kucomment kumpinga au kumvunja moyo mwenzie
tena anakereka kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.