Recent content by Amin Said

  1. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya tozo kufanyiwa marekebisho, Wadau washauri Mwigulu Nchemba ajiuzulu

    Huyu Waziri ameipotezea kura nyingi sana CCM, anguko lao ndio linakaribia
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

    We bwege nini umekuwa mungu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    We jamaa utakuwa MELI unapakuliwa,umeona ulete uzi wa wenzako Pumbavu zako
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasira kila mahali, Kenya Power yapandisha bei ya Umeme

    Acha uongo wewe hakunu kitu cha hivyo tz
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Tupatie wanajeshi waongoze mkoa wa Dar

    Mrudishe Konda boy uone mziki wake teh teh
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tigo kama mnaamua kutoa MB za ofa msitupangie jinsi ya kuzitumia

    Ni upuuzi tu wanafanya wanafikiri kila mtu anaijua boomplay
  7. A

    JamiiForums Tanzania Anthony Mtaka: Ni bora uache kazi kuliko kupata uhamisho kwenye mkoa wa Njombe

    Who is Mtaka, amesahau Dodoma walitaka kumla kichwa kwa kuropoka
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nina mwaka wa 4 tangu nipige stop TV nyumbani kwangu

    Unakosea utakuta wanaangalia ngono kwenye tablet mwisho wa siku unakuta wamekulana,tv haizuii wanafunzi kusoma ndio maana hata mashuleni zipo.Acha ukilitimba na roho mbaya kwa watoto
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mke anaunguza chakula kila siku

    Mnunulie Kuku uone kama atauguza tena
  10. A

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Asilimia 64 ya Watanzania waridhishwa na matumizi ya tozo

    Wasioweza wanatoa takwimu,nani kawaambia sisi tumeridhishwa
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Zoezi la uhakiki limekamilika IEBC kumtangaza Rais mpya wakati wowote kuanzia sasa!

    Mbona katekwa msimamizi wa uchaguzi au hujui wewe
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

    Naweza kuitambua vipi Nissan trail toleo la kwanza na pili
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kilo ya dagaa yaipiku ya nyama kwa sasa bongo

    Hakuna dagaa wa laki huyo jamaa kukosea dagaa wanauza 10000 kg, hao wa laki atakuwa anawatoa US ha ha ha ha ha
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nimefika jiji la Kampala, nilitoka Dar es Salaam saa 11 asubuhi

    Jaribu kuangalia tena ile ujue Kilometer za kutoka Bukoba hadi Mutukula ili usiandike uongo tena
  15. A

    JamiiForums Tanzania NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

    More than ilitating hawa jamaa kulipa pesa za watu ni tatizo lkn wanaenda kudhamini harusi,aisee wanatakiwa kuchapwa viboko
Back
Top Bottom