academic qualifications ni sifa za Taaluma mfano;vyeti vya std VII,F IV,F VI na CAs za vyuo na hizi academic qualifications ndizo humfanya mtu kufuzu professional qualifications ambazo maana yake ni FANI unayohitimu mfano;Udaktari, Ualimu,Uhandisi n.k
Elfu kumi,na moja.Unapotamka unatakiwa uweke shaddah au pumziko dogo unapotamka KUMI. Ila kwenye uandishi baada ya neno KUMI weka alama ya kituo kidogo(comma)
Ni kweli kwamba JK ndiye aliyezalisha mtandao kwa kushirikiana na Lowasa na wengineo kama Sitta.Lakini kwa maoni yangu mchezo unavyokwenda sasa ndio mzuri kwa vile bila mtifuano huu tusingeona haya yanayoendelea sasa. Na katika ligi ya mwaka huu bingwa atakuwa imara na huenda tukapata serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.