Picha: Hali ilivyo mbaya kwa wagombea ubunge CCM

Picha: Hali ilivyo mbaya kwa wagombea ubunge CCM

katika kitu ambacho masikini anaweza kukifanya kwa tajili na akasikia uchungu ni kitendo cha kumsusia na ndicho wananchi wa kahama wamekifanya safi sana ccm walisema tupigwe tuu na sisi tunasema tutawasusia tuu kwenye mikutano yao waje na wake zao na watooto wao ndo wawe wasikilizaji
 
Huu ni mkutano wa watia nia wa ccm jimbo la kahama mjini. Watia nia wapo zaidi ya 10. Huu ndo umati uliofika kuwasikiliza leo tar.30/07/2015. Hapo ni kijiji cha iponya kata ya Kagongwa.
Kati ya wagombea,yupo pia bwana Jumanne kishimba mmiliki wa imalaseko super market.

Pamoja na mikutano hii kudoda,bado wanazomewa kila kona! Kuwa mwanaccm kwa sasa inabidi uwe na moyo wa chuma.

View attachment 272474

....tena cha pua...!!!
 
Ccm mwaka huu hakuna namna zaidi ya kukusanya kilicho chao na kuachia nchi
 
Back
Top Bottom