Recent content by Amigos J

  1. Amigos J

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Nyegezi Mwanza kulazimishwa Kubaki Nyegezi Badala Ya Kuhamishiwa Usagara "Ni Kosa Jingine la Mipango Miji na Siasa"

    Mmhhhh mbona makubwa haya , nan aende mvomero sasa?
  2. Amigos J

    JamiiForums Tanzania Marekani imeshika nafasi ya kwanza kwa nchi yenye roho nzuri Dunani. Kwa Afrika, Kenya, Zambia na Sierra Leone zaongoza kuwa na roho nzuri

    Hawa wezi wa Nairobi ndio wana roho nzuri? Hakuna watu wenye roho mbaya East Africa kama Kenya!! Hebu wanaotoa hizo taarifa watupumzishe na propaganda zao jamaniih
  3. Amigos J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kumpenda mume wa mtu ni sahihi?

    Yaani mwanamke anawezakupendea kitu kdogo sanaa. Kwa kweli nimetokea kuvishangaa viumbe hivi...
  4. Amigos J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kumpenda mume wa mtu ni sahihi?

    Kabsa....mim nimeshatakwa na wake za watu sanaa. Lakin mara zote nimepiga chini....wengne wananieleza mambo yao ya ndani kabsa kisa naonekana mstaarabu sanaa. Wanawake ni viumbe wa ajabu sanaa....sijui wakoje yaani. Lakin nilishaapa sitakuja nilale na mke wa mtu mie.
  5. Amigos J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kumpenda mume wa mtu ni sahihi?

    Kulala na mke wa mtu ni kigezo moja wapo cha kutokujitambua. Ni unyama unyamani
  6. Amigos J

    JamiiForums Tanzania Uvivu wa Watanzania chanzo chake ni utawala mbovu wa CCM.

    Watu walishazoea kula kwa kuiba.... :D :D :D :D :D Ndio maana wanaompenda rais Magufuli ni wachache sanaa. Wengi waliozoea vya kunyonga hawampendi na wana chuki za wazi kabsa kabsa
  7. Amigos J

    JamiiForums Tanzania Uvivu wa Watanzania chanzo chake ni utawala mbovu wa CCM.

    Kwanin usifanye kaz zako kwa ufanisi na huku ukiwa na kazi ya ziada?
  8. Amigos J

    JamiiForums Tanzania Uvivu wa Watanzania chanzo chake ni utawala mbovu wa CCM.

    Tumelelewa vbaya sanaa
  9. Amigos J

    JamiiForums Tanzania SportPesa and Betin Kenya shut down operations, Betin sends all staff home

    :D :D :D :D :D
  10. Amigos J

    JamiiForums Tanzania SportPesa and Betin Kenya shut down operations, Betin sends all staff home

    Hapa sio 18%??
  11. Amigos J

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari za Kiuchunguzi, Erick Kabendera aomba msamaha kwa Rais Magufuli

    Wacha anyee debe tuu
  12. Amigos J

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari za Kiuchunguzi, Erick Kabendera aomba msamaha kwa Rais Magufuli

    Huyu mtu bwana.....hawa watu wanadhan wana nchi yao nyingne ya kwenda kuishi? Haya sasa tumwone....atanyooka. Dadeq
  13. Amigos J

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Nyegezi Mwanza kulazimishwa Kubaki Nyegezi Badala Ya Kuhamishiwa Usagara "Ni Kosa Jingine la Mipango Miji na Siasa"

    Mambo hayaendi mpaka JPM aingilie....sijui ni nan aliyetuloga watz?!!! Alooh
Back
Top Bottom