Nachishkuru hum jf kun watu wapkee katk kutoa maoni napia waushahid wa maan ila katk hili la Richmond ukwel wajinga watabk kuwa wapumbavu,ivi waziri mkuu ni nani na anafny kaz juu ya nani pia je ubaya wa wazili mkuu unajua msingi wake?achen kubisha kit kipo waz mh.aulizwe ndo mhudika mkuu
Swz kukushangaa maan hata wewe mstari ndo uleule kwhy ongea yote ujuayo kwa kubashiri,angalia umri wako na unachokisem ukipata jib basi liwe faida yako
Wat kama wew sio wengi kwan huonekan km hawajui wasemacho katika uhalisia wa jamb dhalim kabisa usemalo,watu wamefkia mbali na kudai kuwa pesa ndo mwisho wa matatz kmb pesa imekuwa chanzo cha matarz kwan kwa wapinzan fake tulionao wanachokifanya ni kutmia ujinga wao kwa akili za kipewa vyuon...
Kwa kwel mtoa maada naon mwanga kwa mbaal maan kupewa lipumb uanachama wakat alijiuzulu mwnyew ten kudhibitisha hilo msajili wa vyama ndo kakata kauli na kufanya watu wakubali lipumba kuwa katik hali halali,naon wingu la mchanga kwa wapinzan wasiojua lengo la wakuu wao wakubwa,nadhan huenda...
Hujanwelewa mkuu,huyu dada au kaka maan humu ndan majina sio ticket ya kujua jinsia,
Mapnz ni mazoea kwahy walizoehapKtk mfumo wa kutozmian cm kutmia cm ya mwenzie bila mipaka,sasa gafla unaambiwa cm kila mtu ashike yake alf wakat huo off cm jamn bila taarif ya maelewan kwel bado unatwambia...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.