Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Nimeitoa FB kwa Deogratius Nalimi Kisandu
Sehemu za siri za mwanamke zinapaswa kuwa SAFI muda wote,
Kila baada ya masaa 6 au 8 mwanamke au mdada unapaswa kusafisha sehemu zako za siri yaani UKENI.
Unapoenda kukojoa hakikisha pia unasafisha uke wako.
Unapooenda kazini au kikaoni au kwenye mikusanyiko au kwa marafiki hakikisha uwe umeoga na kuwa safi na sio kunawa miguu tu.
Mwanamke unapotoka nje ya ndoa na una mtoto wa kunyonyesha hakikisha ukitoka huko kwa mchepuko wako, oga kwanza mwili mzima ndio umnyonyeshe mtoto wako, usimpe mtoto mikosi.
Unapotoka kwa mwanaume wako kufanya mapenzi hakikisha hukohuko unajisafisha uke wako ikiwezekana oga kabisa na sio unatoka huko halafu unapanda daladala.
Jifunzeni kuoga wamama.
DEogratius N KIsandu