Recent content by American Dream

  1. American Dream

    Kama ukiwa huna Bahati (luck) utatumia nguvu nyingi sana kwenye mambo mengi

    Utasikia, "mdada usililie uzuri,Lilia bahati" haya mi napita🚶
  2. American Dream

    Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

    Ungekuwa huna watoto tungesema uendelee kutafuta new bae, mi naona ufocus kwenye kulea watoto wako wanakuhitaji kuliko hao beach boys within the process utampata mtu sahihi Wala hautotumia nguvu nyingi. All in all poleee my dear!!!!
  3. American Dream

    Adamu na Eva walikuwa na Kitovu?

    Sijajibu swali lako, I was shocked with your last sentence, eve and Adam sio binadam ni watu😮 so I had to find this; Binadam linatokana na neno la Kiarabu Ibnu Adam (kiume) kwa kiebrania ni Ben Adam na kama ni Mwanamke ni Bint Adam. Hivyo Binadamu linatokana na kuunganishwa kwa Bin Adam...
  4. American Dream

    Jamani acheni kukosoa watu na kuwakera hamchokagi

    Unique flower 🌹 unajitahidi, tukupe Jimbo la uwakilishi😊
  5. American Dream

    Sio kila dhaifu la mpenzi wako ni la kumuambia, mengine ishi nayo tu!

    Kwa mwanamke ni Kazi kutiririka muhimu la sivyo kifua kinapasuka
  6. American Dream

    Haya mambo usiombe yakukute, tunamsaidiaje huyu?

    Ha ha ha utupe mrejesho akigeuzwa mbuzi
  7. American Dream

    Usitongoze mwanamke, fanya hivi utakuja kunishukuru

    Ha ha ha alafu watu wa JF ukiwa negative Tu kajicomment kanakuja eti tafuta Hela, alafu unaemwambia atafute Hela Sasa ha ha ha!!
  8. American Dream

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Na meteor garden 🙌
  9. American Dream

    Mimi ni Mkristo nataka kufunga ndoa ya mitala nafanyaje?

    Kumbe unandoto basi endelea kuota mana wewe sio mkristo. I hope hujakulia familia ya baba na mama yenye utulivu, pole
  10. American Dream

    Tukifanya haya, mapenzi yatakua matamu sana

    Mtoa mada nakuunga mkono, Wengine tumepitia mapenzi ya dizaini hii, Huwezi kuelewa kama huja experience, wengi wangekuwa hivi broken heart zingekuwa chache na nyuzi za kununua wadada poa zingepungua, 😊
  11. American Dream

    Usitongoze mwanamke, fanya hivi utakuja kunishukuru

    50,000×13= 650,000/= Bado hujamnunulia chipsi kuku, nauli, lodge😏 Tupe hesabu zako za kwa mwaka unatumia sh. Ngapi kununua dada poa At the same time kama unafamilia unakuta ndani Kuna kilo 5 za Michele in short stoo haisomeki. Mdogo wako anekufatia Hana mbele Wala nyuma hata mtaji wa biashara...
Back
Top Bottom