Nesi Zahanati ya Kariakoo akamatwa na kilo 174.77 za Dawa za Kulevya aina ya Heroin

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Gerald Musabila amesema, mamlaka hiyo imemkamata nesi msaidizi wa zahanati ya Kariakoo, Salum Shaban mkazi wa Tabata Relini akiwa na kilo 174.77 za Dawa za Kulevya aina ya Heroin.
 
kilo za heroine ni tofauti na kilo hizi za mchele?
mbona ni nyingi mno
 
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Gerald Musabila amesema, mamlaka hiyo imemkamata nesi msaidizi wa zahanati ya Kariakoo, Salum Shaban mkazi wa Tabata Relini akiwa na kilo 174.77 za Dawa za Kulevya aina ya Heroin.
Kilo au gramu..daah nesi kaupiga mwingi asee..zaidi ya sa100.

Mamlaka zichukue hatua za kisheria.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du, sawa na viroba saba vya unga wa sembe kg 25, cha kujiuliza mzigo mkubwa kama huu unaingiaje na kukutwa Tabata,

Tatizo mambo yanaishia hewani, mara chache sana mambo haya kuskia muandelezo au kesi ikoje,

Mnakiumbuka walioiba mafuta kwenye bomba kubwa bandarini kesi yao iliishia wapi?
 
ujue kipindi chote nakua nilikiwa najua hizi madawa huwezi beba zaidi ya grams kadhaa😁😁.ama kweli nazeeka kwa kasi.
 
Attachments

  • JamiiForums553701106.jpeg
    JamiiForums553701106.jpeg
    52.2 KB · Views: 42
Back
Top Bottom