Recent content by amenyamana mkulangoe

  1. amenyamana mkulangoe

    Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

    Jamani rais wetu sio malaika kukosea kupo mtieni Moyo
  2. amenyamana mkulangoe

    Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

    Akujalishi kupata ahibu nnachofanya in pamoja kupata ushauli wenu was day ili niweze to a uamuzi wa kidemokrasia ila ulichosema nikweli ila tu siamini nitanyiwayo ni kweli au ndoto
  3. amenyamana mkulangoe

    Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

    Bado simuelewi make wangu juu ya penzi hapendi romance wala mchezo namuuliza kama anatatizo hujibu hana tatizo lolote toka uchumba hadi ndoa hajawai kuniambia hanaitaji mchezo na nikitaka Mimi basis kwa mbinde naomba ushauli
  4. amenyamana mkulangoe

    Natafuta mpenzi/mume

    Unapatikana vipi au ndakuona wapi mke wangu mtatajiwa
  5. amenyamana mkulangoe

    Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

    Siku.mkuta na bikira zaidi alikua na bwana.wake mkulia alimuacha baada ya.mimi.kutangaza.ndoa
  6. amenyamana mkulangoe

    Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

    Ni hivi kabla sijamuoa nilimpata kwa shida sana na nilivyompata nakulizika nae akahanza visa sikupi mambo utanizehesha wskati huo alikua na mchumba wake akaniambia namwacha mchumba wangu kama utanihakikishia unafunha ndoa na mimi mana mchumba wake alikua anamzungusha kumuoa mimi nikakubali...
  7. amenyamana mkulangoe

    Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

    Miimi pia nawaza mengi juu ya mke wangu kwakuwa sifikiri kama mwanamke aweza kumnyima mumewe au kumpangia siku ya kumpa mambo labda sina kiwango au hana mawazo na mimi yaani si mvuti ana mtu wake maharumu
  8. amenyamana mkulangoe

    Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

    Hapana baada ya shida hz nilimuoa lakini hali bado kama ilivyo mwanzo na alihaidi nikimwoa mambo yatakua powa
  9. amenyamana mkulangoe

    Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

    Mpenzi ninampenda nimuonapo tu ananisisimua sana kabla sijamuoa alikua ananiambia nimuoe kwanza ili anipe mambo nitakayo. Sasa nimemuoa ndio imekua shida kupata mambo hataukiwa na hamu hakupi labda utumie nguvu. Haijawai kutokea kunipa kirahisi mpaka nimezira. Naomba ushauri wenu tatizo nini...
  10. amenyamana mkulangoe

    Inawezekana kupata mke kwa social media kweli

    Inawezekana kabisa ila itategemea vigezo vyake na uwezo wako kwa kiwango cha juu kwenye kumthamini.mtu
Back
Top Bottom