Recent content by Ambitious Joh

  1. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Rais William Ruto wa Kenya ni kiongozi wa kipekee sana barani Africa, waafrica tunafaa kummpa mau yake, anafanya kazi nzuri na kubwa kwajili ya Africa

    Sasa gentleman naona uchawa wako umevuka mipaka ya nchi gentleman, kwani hapo lumumba zile buku saba saba hawatoi tena gentleman, mpaka unaanza kusifia vya watu gentleman 😁
  2. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji jersey nzuri kama fahari yetu sote!

    Jezi ya team ya taifa hairuhusiwi kua na takataka zote ulizoweka hapo kwenye hiyo AI generated. Kwanza hiyo ni kijora na sio jezi tena.
  3. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, alishawahi kufanya kazi Suma JKT

    Angekua Dar na ana cheti cha form four na namba ya Nida, ningemwambia aende ofisi za kampuni ya ulinzi, kama G4S, Gardaworld au SGA. Angepewa training ndani ya siku chache na kupata ajira kabisa. Kwa mkoani sijajua
  4. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Story bora za mapenzi nilizowahi kuzisoma hapa JF ❤️📖

    Konda msafi story yake ni kali sana ila alishindwa namna ya kuipangilia kwa mtiririko mzuri mpaka ikapoteza mvuto, binafsi nilipotea na sijui iliishia wapi na iliishaje
  5. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Card B afunguka juu ya penzi lake na golikipa wa Nigeria Maduka

    Nigeria kuna wajaluo?
  6. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Wadada Wakisukuma ni wazuri mno, hakuna Wanawake wazuri kama hao hapa Tanzania

    Pole mkuu najua kitendo cha kikatili walichokufanyia wachunga ng'ombe wa kisukuma huko mbugani kilikuathiri pia kisaikolojia. Pole sana
  7. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Wadada Wakisukuma ni wazuri mno, hakuna Wanawake wazuri kama hao hapa Tanzania

    Itakua dirisha halina nondo
  8. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Wadada Wakisukuma ni wazuri mno, hakuna Wanawake wazuri kama hao hapa Tanzania

    We itakua ulilawitiwa na vijeba vya kisukuma huko kwenye machungo ya ng'ombe aisee pole. Maana kwa chuki uliyonayo dhidi ya mabinti wa kisukuma nilifikiri huwenda ni mwanamke mwenzao kumbe mwanaune kabisa 🙆
  9. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Hakuna kufikiria kujiuzulu, kushinikizwa kujiuzulu, wala kupanga kujiuzulu

    Taira la JF lishashiba kiporo cha ubwabwa kwa shemeji sasa limejilaza kwenye sofa na simu mkononi linapuyanga 🙄
  10. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na kitu cha ajabu

  11. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na kitu cha ajabu

    Nilidhani nimekufananisha
  12. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

    Nini maana ya Kaboka mchizi? Niliwahi kulisikia neno hili miaka ya nyuma
  13. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya biashara za minadani

    Nitarudi kusoma maoni
Back
Top Bottom