Recent content by amba.nkya

  1. amba.nkya

    SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Daaa, nimetokwa machozi kwa hii stori, yaani kama ni tamthilia fulani vile. Anyways, pole na hongera sana Dr Amina.
  2. amba.nkya

    Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

    Well said kiongozi, sometimes watanzania tunajitoa ufahamu kwa kushabikia serious and sensitive issues kama hii ya kupunguzwa traffic barabarani pasi na kujua negative impact ya ongezeko la ajari barabarani. Ushauri wangu kwa Jeshi la Polisi ni kutoa maamuzi kwa kujiongeza ("akili za...
  3. amba.nkya

    GE2020 Pengo la kukosekana Slaa na Lowassa laonekana wazi CHADEMA

    Nakubaliana nawe mkuu. Ni sawa na huku Kyela, CHADEMA bila Abraham MWANYAMAKI mgombea Ubunge 2015, hakuna mtikisiko, ushindani na mvuto wa Uchaguzi Mkuu 2020.
  4. amba.nkya

    Bima ya Afya ya Taifa (NIHF) ni wauaji wakubwa wa jamii ya Tanzania

    NHIF ni wezi wakubwa. Na wanabebwa na Serikali yenyewe. Just imagine... Member una wategemezi 6 unalipia kila mwezi wakiwemo watoto wako wa kuwazaa 4. Ikitokea mtoto akifikisha miaka 18, NHIF wanamuondoa kwenye hiyo Bima ya Afya ilhali bado ni tegemezi. Mbaya zaidi usipoumwa mwaka mzima pamoja...
  5. amba.nkya

    DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

    Binafsi sisikitii kutenguliwa kwa DAS. Ninachojiuliza kwa mleta uzi, kwenye tukio kubwa la kihistoria kama hili, hivi umeona kutumbuliwa DAS ndio headilne kuu kwenye tukio hilo? Mbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu...
  6. amba.nkya

    Tetesi: Mapokezi makubwa yamsubiri January Makamba jimboni mwake Bumbuli

    Atapokelewa tu kwa maandamano kwa vile ni mwanaCCM, hakuna ,mabomu, virungu wala kipigo cha mbwa koko hapo
  7. amba.nkya

    Nishauri: Mke wangu kanijibu yeye ni mrembo, anatongozwa kila siku na kunambia maisha anayaweza sio lazima kuwa na mimi

    Pole sana mkuu inatia uchungu na hasira, ila ujipe moyo utayashinda majaribu haya kwani kuondoka kwake ni mwanzo mzuri kwako. Tulia, haya ni mapito tu ya duania na Mungu yuko upande wako ni suala la muda tu utaona furaha.
  8. amba.nkya

    Maumbile yake ni makubwa

    nafikiri anamaanisha tundu ni kubwa sio umbile la papuchi kwa ujumla
  9. amba.nkya

    Kama ulizaliwa baada ya 1995 mambo haya yalikupita

    Kwenye 17 hapo naongezea: barua ilikuwa inaandikwa hivi: "Salaam nyingi nazimwaga kama mchanga wa Bahari ya Hindi au Ziwa Nyasa na zikufikie popote pale ulipo. Baada ya salaam, mimi ni mzima wa afya tele, hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu."
  10. amba.nkya

    Nyumba ni finishing bwana, tuone kwa aluminium windows

    Ahsante mkuu, nitakutafuta muda ukiwadia
  11. amba.nkya

    Nyumba ni finishing bwana, tuone kwa aluminium windows

    Nyumba ina madirisha 10 saizi ya 4x5 na madirisha 2 saizi ya 4x6 maeneo ya Kimara. Usafiri na kupachika, itagharimu kiasi gani kwa alumium kama hiyo?
  12. amba.nkya

    Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    Looo! Pole sana mkuu, it is very touching.
  13. amba.nkya

    Professor w hisabati toka Lumumba

    Heheeheeee, ihihiihiiii....!
Back
Top Bottom