Recent content by amate

  1. amate

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kabisa kuagiza mzigo kutoka China ni bora kuazia Kariakoo au Nairobi Kenya

    Wafanyabiashara wakubwa kutoka katoro, huchukua bidhaa kutoka Dubai na China direct. Wadogo wanachukua kariakoo.
  2. amate

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    Biotechnology, Bioengineering au Biomedical (Zote zinakufaa)... Kapambane tu...
  3. amate

    JamiiForums Tanzania Duniani watu ni wanafiki Sana

    Bado sijakuelewa Posterman. Nini maantiki ya post yako...??. Kwahiyo unamanisha wanafiki wakapigane au??
  4. amate

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali wa kutengeneza batiki haulipi Tanzania

    Okay mkuu. Hapo ni kazi saan kulipa
  5. amate

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali wa kutengeneza batiki haulipi Tanzania

    Hapana mkuu.... Hata sasa batiki zinasoko, sema shida ni bei za malighafi na kemikali
  6. amate

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali wa kutengeneza batiki haulipi Tanzania

    Uko mkoa gani..?? Mbona hizo za MO plain ni 6500 kwa piece. Sema hizo za ZAHRA sizijui.
  7. amate

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali wa kutengeneza batiki haulipi Tanzania

    Unauza sh. Ngapi kwa piece moja ya batiki...??
  8. amate

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali wa kutengeneza batiki haulipi Tanzania

    Nko kanda ya ziwa...mostly Geita
  9. amate

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali wa kutengeneza batiki haulipi Tanzania

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. amate

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali wa kutengeneza batiki haulipi Tanzania

    Mkuu nko serious. Naomba biashara zinazolipa ili nipambane....
  11. amate

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali wa kutengeneza batiki haulipi Tanzania

    Mkuu ujasiriamali upi unalipa ??.
  12. amate

    JamiiForums Tanzania Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    [emoji120][emoji120][emoji120]
  13. amate

    JamiiForums Tanzania Je, nifanye Kilimo au biashara kwa mtaji chini ya milioni 1?

    [emoji849][emoji849][emoji849]
  14. amate

    JamiiForums Tanzania Je, nifanye Kilimo au biashara kwa mtaji chini ya milioni 1?

    Asante sana mkuu
  15. amate

    JamiiForums Tanzania Je, nifanye Kilimo au biashara kwa mtaji chini ya milioni 1?

    No, si kwamba Geita yote imegusa ziwa... Nmeuliza ili unieleweshwe ulichokuwa unamanisha mkuu.
Back
Top Bottom