Recent content by AMARIDONG

  1. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Kung'ara na Kuanguka kwa Mhe. Zitto Kabwe -Cover Final Designed

    spin doctors at work
  2. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Kificho kuwa M/Kiti wa muda Bunge la Katiba

    Uchaguzi ndio unaendelea sasa hata matokeo bado we jitu Zima bila haya unakurukpuka eeeeh kifichooooo kakuficha mini.....?
  3. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    mccm au mdemokrasia
  4. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania JK sitaki kuombwa hela

    Wenye njaa zao wamepata namba yta Raisi wamempigia na wanamuomba milioni mia hamsini mtaji,baada ya kuchati na kuongea kwa simu bila kuafikiana mkulu kaamua kuibuka nalo kwenye mikutano yao etii sitaki kuombwa hela ,wananiuzi sana watanzania wanaoomba fezaaaaa, sasa mpaka mnakubaliana mia...
  5. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Makosa 11 anayotuhumiwa Zitto Kabwe na chama chake cha CHADEMA...

    Acha uf........la wewe kujulikana kunasaidia ninikama huna hela au na wewe uzi wa huyu mangi umekugusa
  6. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Makosa 11 anayotuhumiwa Zitto Kabwe na chama chake cha CHADEMA...

    Umefunguka sana aisee ulikuwa wapi siku zote,nakutakia krismas njema na mwaka mpya wenye manufaa
  7. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Makosa 11 anayotuhumiwa Zitto Kabwe na chama chake cha CHADEMA...

    pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tupo KG nyumbani kwa mama Zito tunapata kifungua kinywa
  8. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Makosa 11 anayotuhumiwa Zitto Kabwe na chama chake cha CHADEMA...

    Minja fanya uone kama utafukuzwa au la si mchaga wewe
  9. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Albert Msando apotoka tena

    Ameshazoea kupotoka mwache wafu waendelee kusikiliza wafu wenzao sisi Kigoma tunapiga kazi
  10. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Picha namna K-Lyn alivyosherekea birthday party yake chini ya Mengi na Diamond Platnum

    Mkuu una maneno makali
  11. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Nani alimtuma Issa Shivji The Professor?

    Alitumwa na Nape,watu njaaa sana mkuu wewe wasikilize leo wako Nkrumah uone wanavyojipendekeza sijui kazi na faida za Usomi wao ni nini kwa taifa hili.
  12. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Naomba utaratibu wa kuwa raia wa Arusha

    NImefurahishwa sana na kilichotokea jana mjini Arusha na nihamasa kubwa kwa watanzania wote ambao hawajajua hali halisi n mwelekeo wa nchi kisiasa Naomba ushauri mimi mkazi wa Pemba Kusini,kwa yaliyotokea jana kwa kweli naamini ukombozi wa nchi hii unaanzia Arusha na mimi nataku kuwa mmoja...
  13. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania George W Bush arrives in Tanzania

    Acha bange wewe,unakoelekea sasa ni wazimu mia kwa mia
  14. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta wafanyakazi

    Mijitu ina wivu tuu kamanda komaa hiyo ni fursa wasaidie watu na weew ujipatie kipato kwa WAAJIRI tafadhali zingatia USICHUKUE FEDHA ZA WANAOTAFUTA KAZI ni dhambi
Back
Top Bottom