We uliyeleta hii thread ni lofa tena ni taira kabisa kwasababu unavita binafsi ambayo ni ujinga kabisa! kwa mawazo ya kijinga kama haya wakiwa watu kumi tu njombe haiwezi kuendelea kama unavyofikiri. Pumbavu kabisa wewe ebu badiri namna yako ya kufiri> utataka kutuharibia mkoa wetu wewe!
Mheshimiwa sana Rais wetu, hii ni nafasi kwako kuwaonesha watanzania utendaji wako uliotukuka hata kama wamekuchoka wewe na chama chako! Nakushauri fanya mabadiliko ya balaza la mawaziri kwa umakini wote bila kutazama urafiki na wala uswaiba! acha usanii! ni muda wa kuua nyani bila kutazama...
kweli wewe ni ***** kati ya mabwege! thread kama hii unaweza kweli kuileta jamvini wakati kama huu ambapo wapumbavu wenzako magamba mnapumulia mashine! Jinga ni jinga tu hata ukilipeleka darasani hakuna mabadiliko! sijui ww ni mzee au kijana, kama ni mzee sio mbaya huyo kashapishana na wakati...
Usaliti na makundi ndani ya CCM yanatishia kabisa uhai wa chama na tayari yamekwisha angamiza Taifa letu, hata hivyo nafasi ya wa watoto wa wanyonge ndani ya CCM inazidi kuwa finyu, aidha ujipendekeze kwa wakubwa ili upate nafasi ya kutumikia jamii au Chama, wakati nafsi yangu haiko tiyari...
Bana unaonesha ni jinsi gani ulivyojinga na akili zako zilivyojaa magamba! pole sana Dr mzima unatoa mawazo ya darasa la sita Pumbavu! tunamashaka sana na udaktari wako na wanafunzi wetu unawaharibu hapo chuo kikuu! shida yako damu yako yote ni ya kijani na ngozi yako ni ya njano! na hivi...
Washezi wakubwa hao waende zao! lakini shida ipo kwa mfuga mbwa ndo maana mbwa wake wanafanya madudu! kama mwenye mbwa angekuwa sirious basi hao mbwa wasingeiiba mboga jikoni na mwenye mbwa akafurahi tu! R.P.I CCCCCM!
Jk na Lowasa ni maswaiba wa siku nyingi wala msitegemee kama wanaweza kukeukana leo! CCM imeoza na kunuka imeanza kilichobaki ni kuzikwa tu! na mazishi yao yanakuja! Mafisafi makubwa haya! Magamba yanawashinda kuvua kwani ni magumu sana! Nyambafu zao! lazima tuwasafishe wote. Watausikia uras...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.