Recent content by amanindoyella

  1. amanindoyella

    Lowassa atakiwa kuripoti tena Polisi mwezi August

    Pia inaonekana kuna watu wanao tonya mipango ya siri! Inamaana kuna watu hawapendezwi na jinsi mambo yanavyoenda ila yote yana mwisho!
  2. amanindoyella

    Master PLan ya Mji mpya wa Singapore

    Mama Prof Tibaijuka tafadhali tunaomba utoe majibu basi hata ya ujumla kuliko kunyamzaaaaaaaaaaaa kimyaaaaaaaaaa!
  3. amanindoyella

    "Sakata la gesi: Jeshi latinga wilayani Newala na vifaru na kutembeza kichapo kwa wananchi"

    Mara zote utumiaji wa jeshi katika kutatua migogoro siyo suluhisho la kudumu hasa katika nchi zinazodai zinzendeshwa kidemoksia. Watawala wanapaswa kujiuliza kwanini wananchi wanapinga miradi mbalimbali inayosadikika kuwa ni ya umma? mfano Mji mpya wa Kigamboni serikali haijashirikisha wananchi...
  4. amanindoyella

    Mzee Timothy Apiyo Afariki Dunia

    Poleni sana wafiwa! Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
  5. amanindoyella

    Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    MM sidhani kama kuondoa division 0 ndo tatizo! mimi nadhani wizara ya elimu inapaswa kushughulikia mambo ya elimu kwa umuhimu mkubwa sana. naamini wanajua tatizo la elimu nchini ila hawatili maanani na hii ni kwa sababu watoto wa vigogo hawasomi kwa hizi shule za kata ambazo wamekuwa wakizisifia...
  6. amanindoyella

    Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    Sijakusoma kabisa mkuu!
  7. amanindoyella

    Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    Mimi sijawahi kuiona hiyo MOU kati ya kanisa na serikali mwenye nayo tafadhali aiweke hapa niione!
  8. amanindoyella

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    Mheshiwa Waziri mkuu Pinda nimewahi kusikia tetesi eti ukiwa unasali huwa unasali hivi? enyi miingu nijalieni nizidi kutumie hizi sheria kandamizi zilizotunga na bunge la Tanzania hata kama .........ili kukandamiza uhuru wa habari milele hadi milele amina! Nitatumia sheria hii so long as ina...
  9. amanindoyella

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Hongera Sana Mnyika! Hawa jamaa kazi yao ni kuwapotezea watu muda wa kuwatumikia wananchi ili mwisho wa siku wananchi waone kama mbuge wao hafanyi kazi sawasawa! pili hawajali/hawathamini kabisaaa upotevu mwingi wa fedha za umma hasa pale inapotokea chaguzi zinzrudiwa! Ukiangalia pia kesi nyingi...
  10. amanindoyella

    Nafaka zimepanda mara dufu

    Jamani juzi nilikwenda mwananyamala sokoni ili nijipatie mahitaji kidogo kwa ajili ya nyumbani. Amini usiamini nilishindwa kununua kwani mchele kilo moja ni 2,400/= mpaka 3,000/= kwa kweli ilinichukua dakika 15 kufikiria ninunue au la mwisho niliondoka mikono mitupu! Hapa kinachonishangaza ni...
  11. amanindoyella

    Lema to Nassari: "Nitakupa mil. 10.... Jipe moyo utashinda"

    Duh kweli maisha bora kwa kila mtanzania nyumba ya udongo ina ungo wa kisasa!
  12. amanindoyella

    Je wajua????-CCM imeshika nafasi ya Tatu Udiwani Tanga

    Wangekuwa viongozi tungewachagua bahati mbaya wao si viongozi ni WATAWALA
Back
Top Bottom