Huyo mshenzi ndo aliharibu hii nchi,alikuta Mkapa kajenga uchumi vizuri sana,Mkapa ana mkabidhi nchi huyo mpumbavu GDP ya Tanzania ilikuwa juu ya Kenya,yeye kws kuwa alikuta mapesa mengi akagawa bilioni kila mkoa
Popote penye maslahi ndo hali iko hivyo,hata huku maofisini ukianza kupanda juu huku kwenye mishahara ya 25milioni kwenda juu,yaani mwilk wako unatakiwa uwe imara sana,na ili udumu sana inabidi uwe mnafiki haswa na chawa wa mabosi wako la sivyo unapigwa chini mapema sana
Ndo wasukuma wa Mwanza walivyo haswa toka Mwanza vijijini ni mashamba sana,kuna moja nilikuwa nafanya kazi kampuni moja hivi lilikuwa senge sana ikabidi tuliwekee miba likanasa,maana alishafukuzisha watu kibao kwa kupeleka uongo kwa wakubwa,ikabidi tumtengenezee kamati tumbutue
Inawezekana jibu lisitosheleze,mwaka 2010 nikiwa bado Chadema wamoto kabisa,kwenye vikao vyetu tulikuwa tunapewa taarifa kuwa mgombea wa Uraisi kupitia tiketi ya Chadema atakuwa Mama Tibaijuka,ila ghafla naona akashawishiwa kugombea ubunge kupitia CCM,mama Tibaijuka tokea akiwa bado Lecture...
Kuhusu kuua upinzani namtetea sana,Magufuli alikuwa anapata taarifa nyingi sana na alimfahamu Mbowe zaidi hata ya tulivyomfahamu kwa sasa,wapinzani wengi walikuwa wako loyal kwa JK kaa sababu ni watu waliofanyiwa mambo makubwa ya kiuchumi na Kikwete.
Kuhusu huu utawala kuhusika hilo wala halina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.