Recent content by amani mushi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli anataka kuigeuza Tanzania kuwa mali yake binafsi?

    Tufanyaje Sasa hahaha
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nini kimekuza deni la Taifa kwa trilioni 20 kutoka 2015 hadi 2019?

    Nani amekudanganya wkt mkuu anasema mataifa ya magharibi yanatuonea wivu SBB tunatumia pesa za ndani kujenga miradi yote mikubwa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

    Me nadhan boss ndo alitakiwa kujiuzuru
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanalaumu CHADEMA kujitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa? Sababu hizi hapa...

    We ulishawah kuona wapi vichaa wakajua kinachoendelea
  5. A

    JamiiForums Tanzania Upinzani mnapoambiwa mwakani hakuna mbunge wa upinzani atakayerudi muwe mnaelewa

    We ndo unachekesha kweli labda mitaa ya huko kwenu Kwa wasukuma
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mpango kuwapa Fomu wagombea wa vyama visivyo wabunge wavuja

    New approach kama ipi mkuu...unposuggest use mifano pia kaka
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mambo 12 yanayoipasua Tanzania vipande vipande kutoka utawala wa awamu ya 5

    we jamaa shule ulienda kweli
  8. A

    JamiiForums Tanzania CCM haina tena imani na Watanzania

    Vilaza Na vihiyo hamuwez elewa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ninadhani wanasheria wa CHADEMA wameishauri vibaya Kamati Kuu

    Mkuu umepoteza muda tuu,inaonekana unaandika ili kuendelea kuwahadaa wajinga wachache ,kipi usichokielewa Sasa hapo ulishawah ona kesi ya ngedere ikatatuliwa Na nyani
  10. A

    JamiiForums Tanzania Only in Tanzania: Amshukuru Rais kwa kupona kwenye Ajali ya Basi

    Praise and worship team imekuwa ni kama ka utamaduni Tanzania bara
  11. A

    JamiiForums Tanzania Jamani sehemu gani nzuri ya kuishi mkoa wa Mbeya?

    We itakuwa hazijatimia Na hujajipanga em tuondolee utoto humu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Maswa wasimamizi wa uchaguzi wajificha

    Kwahyo hata kilichowafanya wapinzani wasusie hukijui...daah safari yetu Bado ndugu mno
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

    Wachaaga Kwa ukabila Na ukanda ni kiboko...acha ushamba wewe
Back
Top Bottom