Recent content by Amanda

  1. Amanda

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

    Alivyoondoka kwenda kwenye matibabu ukimuona? Au ulipewa taarifa tu?
  2. Amanda

    JamiiForums Tanzania Masikini Manji, kabanwa kila kona!

    Umenena
  3. Amanda

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Hajaenda mwenyewe, usipotoshe, ukweli tuukubali mengine baadae.
  4. Amanda

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Umemsikia kwa macho??? Acha utani
  5. Amanda

    JamiiForums Tanzania IMEKANUSHWA: Wassira msemaji wa Chama, Peter Maduki mweka hazina, Kinana kabaki

    Hivi Ally zahor ni wa bara au Zanzibar?
  6. Amanda

    JamiiForums Tanzania Inaitwaje hii?

    Enkyakya/engale :A S-confused1:
  7. Amanda

    JamiiForums Tanzania Madiwani waliotimuliwa CCM wadai kuwa wako tayari kuhamia CHADEMA

    Hvi hao madiwani hawana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya siasa???Hii inazihirisha kuwa ilikuwa ni halali ya CCM Kagera kuwatimua.
  8. Amanda

    JamiiForums Tanzania Kituko Bukoba-Kanisa la kirokole lawazuia maharusi kwenda kijijini kwao kwamba kutakuwa na pombe!

    hayo mengine ni sawa ila tu sahihisho, MC Baraka ndiye mmiliki wa blog ya bukobawadau si DJ Baraka wa jamii forum ambaye kwa akili zake alitaka kumharibia jina na kumchafua MC Baraka kwa kutumia lake kuleta habari mbali mbali za uongo hasa za watu wa Bukoba. Aliposhtukiwa hapa akabadili jina na...
  9. Amanda

    JamiiForums Tanzania Lulu:Na mimi Nina Kampuni

    Nafikiri mleta mada hakuelewa alichokisema Lulu or ana maana nyingine, coz mm nilangalia show na alichosema yeye ni kwamba kuna kampuni anayofanya nayo kazi , so anafanyakaza under management ya hiyo kampuni na ndio chanzo cha mabadiliko na mafanikio aliyonayo kwa sasa.
  10. Amanda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Obama kuondoka turudi kwenye issue ya Pinda

    Kwa nchi hii huwa haturudi nyuma, hiyo imepita tuangalie yanayokuja.
  11. Amanda

    JamiiForums Tanzania Kituko Bukoba-Kanisa la kirokole lawazuia maharusi kwenda kijijini kwao kwamba kutakuwa na pombe!

    Wewe Kaka ni muongo sana, ndio maana unapenda kutumia majina ya watu, ulikuja hapa na bukoba wadau mwenye jina akakuwakia ukaja na DJ Baraka, kwa kuamini ndilo jina na mmiliki wa bukobawadau, pole ni kusaidie tu jamaa anaitwa Mc Baraka. Back to the topic: Inno Hakwenda kijijini kutokana na...
  12. Amanda

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mdee aishukia serikali!

    Ahaa nimeipenda hii
  13. Amanda

    JamiiForums Tanzania BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

    Kwani wewe unamuonaje RAIS wako?????
  14. Amanda

    JamiiForums Tanzania Fastjet na nauli ya 75,000 Tsh (Mwanza-Dar)

    Nivea mm nilishapata ticket kwa bei hiyo but nashindwa kuiattach hapa naendelea kujaribu ila ili upata kwa bei hiyo ni lazima kukata ticket miezi miwili kabla ya safari.
Back
Top Bottom