Recent content by Amanda Lynn

  1. Amanda Lynn

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Uzuri watu wote wanaoondoka UKAWA hawana madhara, Lipumba ndio hana influence kabisa bora Slaa. Waliokuwepo Mlimani City kwenye mkutano mkuu wa CDM wanatosha kuendeleza mapambano.
  2. Amanda Lynn

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Hakumkaribisha peke yake, walikaa kikao cha kamati kuu na wakakubaliana, na katika demokrasia wengi huwa wanapewa (wengi wape)
  3. Amanda Lynn

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Membe hana hela za kuhonga UKAWA
  4. Amanda Lynn

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Hakuna tatizo lolote CDM kumkaribisha Lowassa, tatizo sio Lowassa, tatizo ni Lipumba na viongozi wenye uchu wa madaraka. Lipumba alishaanza kusumbua toka mda mrefu. Unafuu wa Magufuli unauzungumzia katika muktadha gani? Kama uwezo wako wa kuchambua vitu ndiyo huu basi bado una safari ndefu sana...
  5. Amanda Lynn

    Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    Sisiem wamechanganyikiwa, hali mbaya
  6. Amanda Lynn

    Lowassa: The Wild Card

    If you ask me, I don't think his supporters are genuinely looking for change outside CCM as they claim, instead, I think they are up for a revenge and they are ready for the consenquences, even if it means CCM loosing this election.
  7. Amanda Lynn

    Lowassa: The Wild Card

    Lowassa has a large number of supporters judging by the crowd he gathered in his various trips seeking sponsors. The only problem was the corruption scandal and I think that's why he was dismissed. These supporters are going to be important for the opposition if Lowassa stays silent without...
  8. Amanda Lynn

    Kwa hali ilivyo sasa, nitaoa mwanamke tajiri

    Angalia unavyojitoa fahamu, mianaume suruali bhana, umesuguliwa huko nyuma na wanaume wamekupa vijisenti hafu unakuja kutangaza biashara yako hapa, unahanngaika kutafuta mteja katangaze biashara yako ya kuuza ta.ko kwingine
  9. Amanda Lynn

    Kwa hali ilivyo sasa, nitaoa mwanamke tajiri

    Umeiandika vizuri stori yako kwa ajili ya mauzo Ila sina hakika kama kuna mtu atainunua, komaa mkuu unaweza kumpata mteja
  10. Amanda Lynn

    Wataalamu wa rangi: Hii ni rangi gani?

    Unaulizia rangi ya nguo, ukuta, gari, mti au ya ngozi huyo mwanamke?
  11. Amanda Lynn

    Natafuta hivi viatu

    subiri waje wanaojua viatu
  12. Amanda Lynn

    In order to live life, you must earn one

    I think this is great reminder how music is real and how it touches every inch of our lives! I also think that the old songs are better in terms of lyrics and messages to the people..old is always gold'''':bowl:' These days it is all about the beat according to Eminem, fewer and fewer music...
  13. Amanda Lynn

    Nisikilizeni CHADEMA: Tatizo ni UKAWA, Hili ndilo chaguo langu la rais wa 5

    CUF hawasomeki, tarehe 25 ni mbali ukizingatia wenzao wako tayari wao ndio wanaochelewesha kisa 'vuguvugu' ndani ya chama Kwanini hilo 'vuguvugu' litokee mda huu ambapo UKAWA walishasema watataja mgombea wao tarehe 14?
  14. Amanda Lynn

    Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Umewahiwa hata hiyo pete hujaiona
Back
Top Bottom