Wamesema wataanza kutoa hivii karibu
Mkuu hoja zako nazielewaa coz hata mimi nilipitia hayo unayopitia saivii lakinii lazimaa uelewe mambo ya serikalii hayaendii hivyo kama unavyotaka yawe japo sheria wanatungaa wenyewee mfano sheria inasema ukishapata kazi inabidii ulipwe pesa ya kujikimu...
Nakushaurii kuwa mpolee jiandae na usailii huku ukifanya mambo menginee,,uharaka wa kuita kwenye usaili inategemea Taasisi husika inayohitaji wafanyakazi kama ina uharaka na budget yake
Wewe jazo chuo kingine ambcho unajua hiyo fani yako inapatikana ukishaitwa kwenye interview hakuna shida yyte,,,,,ko huwezii ukaacha kuomba eti kisa chuo
Unasemaa watatoboa kwenye uchaguzi wa mwaka huu upo serious kwelii,,yaanii bado Watz wengi ni wajinga??aliyekuambia wanategemea kura za wananchi kutoboa kwenye uchaguzii ni nani?? Yaani mpaka saivii hujui kwamba upige kura usipigee CCM itabakii madarakanii tuu!!!
Status huaga haibadilikii mpaka siku ukipataa kazi,,,utajua kama hukufaulu ukishapita mwaka mmoja Tangia ufanye interview,,maake majina ya waliofaulu yanayowekwa kwenye database yanaexpire baada ya mwaka mmoja!!!!!endelea kutembelea akaunti yako ya ajira portal mara kwa mara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.