Recent content by Amafita

  1. Amafita

    JamiiForums Tanzania Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Hayo ni maudhui mazuri sana kwa wewe kuanza kupakia YouTube. Ishu ya itakuchukua muda gani hapo inategemea na umakini wako ktk kutengeneza kazi zako, ubora wa content zako, engagement yako kwenye social media pamoja na kasi yako katika kupakia hizo kazi zako. With time you gonna gain massive...
  2. Amafita

    JamiiForums Tanzania Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Swali zuri. Mm sijaanza kulipwa kwa sababu sina maudhui yangu mwenyewe, niliyonayo ni miliki ya watu wengine
  3. Amafita

    JamiiForums Tanzania Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Mkuu sijasema kwamba sina maudhui, ya kwangu yapo kikaangoni maana nilisubiri nipate vitendea kazi vyote muhimu so niko jikoni napika najua audience yangu inapenda nn so najua nikianza tu kuweka kazi zangu angalau nina audience na sio kwamba nitakua naanza upya. Maudhui ambayo niliyokuwa...
  4. Amafita

    JamiiForums Tanzania Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Binafsi mm nina YouTube channel yenye subscribers zaidi ya 16K. Na subscribers wangu 50% ni south africa, 30% ni USA, 15% ni wakenya na waliobaki ni watu wa nchi mbalimbali afrika. Vigezo takribani vyote vimetiki isipokuwa kimoja tu, ishu ya ku-own content zangu mwenyewe. Yaani hapo tu.
  5. Amafita

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Tafadhalini naomba mwenye wimbo wa Ray C-Vyovyote Vile Pauline Zongo; jina la wimbo silikumbuki ila video inamwonyesha akiwa ufukweni amevalia mawazi meupe huku akipiga gitaa, wimbo aliuachia mwaka 2004
  6. Amafita

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyimbo hizi za Old Bongo Flava

    Shukrani mkuu, ngoja nijaribu
  7. Amafita

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyimbo hizi za Old Bongo Flava

    Hazipo YouTube kwa mujibu wa dk 5 zilizopita. Ishu ya Pauline Zongo naifahamu vyema, huo wimbo wake niliouulizia ameuachia mwaka 2004
  8. Amafita

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyimbo hizi za Old Bongo Flava

    Ukisema kikotoo unamaanisha nn mkuu?
  9. Amafita

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyimbo hizi za Old Bongo Flava

    Nimeshawahi kukoment kwenye posts zake za Instagram na Tiktok zaidi ya mara 20 ila hajawahi kujibu tena unakuta nawahi kabisa comments zinakuwa na mwanzo mwanzo lakini wapi. Then huko YouTube ndio kabisaa comments zangu zimejaa kwenye Channel yake. Hata akiwa live Tiktok huwa anaruka hili swali...
  10. Amafita

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyimbo hizi za Old Bongo Flava

    Habari zenu waheshimiwa. Kuna baadhi ya nyimbo nimekuwa nikizitafuta kwa takribani miaka kumi sasa. Nimejaribu kukomenti kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya wasanii husika lakini hawaonyeshi kuwa na msaada. Mwenye nyimbo zifuatazo naomba atume tafadhali. Vyovyote Vile - Ray C (kutoka...
  11. Amafita

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

    Sasa mtoa mada hakukosea kusema kanda ya ziwa. Mm nimewashuhudia mabodaboda, wajenzi, wabeba mizigo masokoni na hata wauza maduka, kuanzia chato, katoro,geita, sengerema ni kawaida yao kuvalia hivyo
  12. Amafita

    JamiiForums Tanzania Zielewe kazi za Usalama wa Taifa (TISS) na mipaka yake

    Kwahiyo hata mtu aliyeko kazini na hajui chochote kuhusiana na ushushushu kivipi anakuwa recruited? Umeniacha hapo ila kwa chuo na mashuleni hiyo naelewa
  13. Amafita

    JamiiForums Tanzania Waislam wa zamani hasa Tanzania walikuwa hawanunui Toilet paper Madukani lakini siku Hizi ndio wanaongoza!

    Mm pamoja na kuwa exposed, kutembelea na kukaa hoteli ya nyota tano, nakiri sijawahi kufikia hatua ya kuona hizo karatasi laini kama kifaa cha kujitawazia. Maji ndio uhakika wa kujisafisha. Hata haja ndogo kwa sisi wanaume, unajifuta tupu yako ili boxer yako isibaki na vitone vya mwisho vya...
  14. Amafita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupiga Punyeto ni kufanya mapenzi ya jinsia moja na pia ni kufanya mapenzi kinyume cha maumbile

    Naomba kujua neno infanta.
  15. Amafita

    JamiiForums Tanzania Muungano bado una shida nyingi tusidanganyane

    Na kwamba huwezi kuta mtu wa bara anafanya kazi ZRB ila wa visiwani wana nafasi zao ktk ajira za TRA, yani 25% ya kila vacancies ni za watu wa visiwani.
Back
Top Bottom