Recent content by Am focused

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

    Shida ya marafiki wa kike ni kuomba hela
  2. A

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Mkuu isije ikawa ni wewe ndiye uliefariki na unamsingizia ndugu yako
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Mkuu naomba nisaidie hiyo namba tafadhali, nitumie pm
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Habari wakuu! Heshima kwenu wana jukwaa mliojaa maarifa na utambuzi wa mambo.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kama hili linawezekana, basi kurogwa inawezekana!

    Mkuu naomba nije pm tafadhali
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Mkuu nimekubaliana na ndugu zangu na hazijapita siku saba....naomba msaada tafadhali.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Salamu kwenu jukwaa! Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Range Rover liheshimiwe

    Ngoja kwanza unalijua hili?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine kubwa kwa sarafu ya Marekani (US Dollar)

    Russia ina watu milioni 144!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Biden hakukosea ndio mpango uliokuwepo, ila ametoa Siri kizembe. USA walimshindwa Castro, watamuweza Putin?

    Nani ataruhusu kurushwa kwa hilo kombora ?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Bei ya petrol na diesel UK yapaa hadi Tsh 5000 kwa lita

    Anajua thamani yao toka mda mrefu, watu wasihisi mtu kama Putin asingewaza ambacho kingetokea baada ya vita
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rais Putin: Russia haitapokea Dollars wala Euros kwa mauzo ya gesi Ulaya badala yake watapokea Roubles tu

    Kuna mtu alileta thread hapa akielezea kwamba hii vita Ukraine ametolewa chambo, ni more economical than physical!
Back
Top Bottom