Recent content by am breezy kenzo

  1. am breezy kenzo

    Tarehe ya kureport chuo

    Hata majibu ya chuo ulichopangiwa hujui unaulizia tareh ya kufungua umekipania sana chuo si ndiyo punguza mihemuko dogo
  2. am breezy kenzo

    Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

    Chama cha udhaifu hicho matatizo ya ndoa muyaundie chama ndo akili gani sasa kila ndoa Ina matatizo yake
  3. am breezy kenzo

    Hakuna media ya kuifikia Clouds Bongo na hata East Africa nzima

    Huyo ni kada wa clouds au jamaa inaelekea yupo field sasa anafanya research
  4. am breezy kenzo

    Hakuna media ya kuifikia Clouds Bongo na hata East Africa nzima

    Mbna lady Jaydee,rama dee hawapigi nyimbo zao na wanapeta tuu mkuu na shows wanapiga tatzo mmekariri utumwa Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  5. am breezy kenzo

    Hakuna media ya kuifikia Clouds Bongo na hata East Africa nzima

    Wewe ndo unaongea kuwa wasanii wananufaika lakini fiesta wanaenda kulinda majina na tofauti na unavyofikiri wewe sasa kukuza jina mfukoni huna kitu wapi wapi na wapi wasanii wana stress kibao kwanza mfumo wa uongozaji wa ipp ni tofauti na clouds je unaijua mishahara yao au ndo umekurupuka na...
  6. am breezy kenzo

    Boss anajua siku zangu za period

    Kwani yeye ameonesha dalili za kukutaka? Kuwa period cyo dhambi anataka kukusaidia tu ila wewe hisia zako ndo znakupeleka kwingine
  7. am breezy kenzo

    Aliyekuwa na picha za utupu zilizosambaa mtandaoni huyu hapa, ahojiwa na kunena haya

    Huyo dada anaonekana sifuri kwanza huwezi hojiwa kwa ishu chafu kama hiyo unaconfidence na upo radhi iwe published
Back
Top Bottom