Tarehe ya kureport chuo

Tarehe ya kureport chuo

Mleta Mada sijakuelewa unamaanisha vyuo vipi maana Kuna certificate,diploma na chuo kikuu. Kwa upande wa chuo kikuu Kuna kitu kinaitwa bodi ya mikopo na wao Wana mamlaka ya kupanga tareh ya wanafunzi kuripot chuo. Kumbuka last year vyuo vikuu waliambiwa waongeza tareh za kufungua chuo mpka mchakato wa mkopo kwa wanafunz ukamilika, mwanafunz atakapo enda kuripot basi mkopo wake haukute chuo na siyo kuanza kusubiria HAPA KAZI TU
Chuo kikuu aaah basi sawa ngoja tusubri du nimechoka kukaa idle home
 
Mleta Mada sijakuelewa unamaanisha vyuo vipi maana Kuna certificate,diploma na chuo kikuu. Kwa upande wa chuo kikuu Kuna kitu kinaitwa bodi ya mikopo na wao Wana mamlaka ya kupanga tareh ya wanafunzi kuripot chuo. Kumbuka last year vyuo vikuu waliambiwa waongeza tareh za kufungua chuo mpka mchakato wa mkopo kwa wanafunz ukamilika, mwanafunz atakapo enda kuripot basi mkopo wake haukute chuo na siyo kuanza kusubiria HAPA KAZI TU

Wewe ni kilaza bodi ya mikopo??? inapangaje tarehe za kufungua vyuo??? TCU wenyewe hawana mamlaka ya kuvipangia vyuo tarehe rasmi za kufungua
 
Wewe ni ****** bodi ya mikopo??? inapangaje tarehe za kufungua vyuo??? TCU wenyewe hawana mamlaka ya kuvipangia vyuo tarehe rasmi za kufungua
Wewe ndo kilaza tena mpuuzi, unabisha nini kama elimu yako ndogo bora ukae kimya nimemalza chuo mwaka ulioisha, waraka ulitolewa kwa tareh za kufungua chuo ziongezwa kwasababu bodi ya mikopa ilikuwa bado kukamilisha mchakato wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi, waulize udom, sauti na vyuo vingine walifungua vyuo tareh ngapi. Degree utaisikia kwenye BOMBA hongera ndalichoka kuongeza pass mark za kwenda chuo kupunguza vilaza kama hawa
 
Wewe ndo ****** tena mpuuzi, unabisha nini kama elimu yako ndogo bora ukae kimya nimemalza chuo mwaka ulioisha, waraka ulitolewa kwa tareh za kufungua chuo ziongezwa kwasababu bodi ya mikopa ilikuwa bado kukamilisha mchakato wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi, waulize udom, sauti na vyuo vingine walifungua vyuo tareh ngapi. Degree utaisikia kwenye BOMBA hongera ndalichoka kuongeza pass mark za kwenda chuo kupunguza ****** kama hawa
Mkuu...
Hili ndio TATIZO la JF...
kila mtu kujiona anaelimu kubwa kushinda wengine...
Hawajui kwamba hadi BABA zao wapo humu ndani pia..!
 
Wewe ndo ****** tena mpuuzi, unabisha nini kama elimu yako ndogo bora ukae kimya nimemalza chuo mwaka ulioisha, waraka ulitolewa kwa tareh za kufungua chuo ziongezwa kwasababu bodi ya mikopa ilikuwa bado kukamilisha mchakato wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi, waulize udom, sauti na vyuo vingine walifungua vyuo tareh ngapi. Degree utaisikia kwenye BOMBA hongera ndalichoka kuongeza pass mark za kwenda chuo kupunguza ****** kama hawa
Wewe ndo ****** tena mpuuzi, unabisha nini kama elimu yako ndogo bora ukae kimya nimemalza chuo mwaka ulioisha, waraka ulitolewa kwa tareh za kufungua chuo ziongezwa kwasababu bodi ya mikopa ilikuwa bado kukamilisha mchakato wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi, waulize udom, sauti na vyuo vingine walifungua vyuo tareh ngapi. Degree utaisikia kwenye BOMBA hongera ndalichoka kuongeza pass mark za kwenda chuo kupunguza ****** kama hawa
Wewe ndo ****** tena mpuuzi, unabisha nini kama elimu yako ndogo bora ukae kimya nimemalza chuo mwaka ulioisha, waraka ulitolewa kwa tareh za kufungua chuo ziongezwa kwasababu bodi ya mikopa ilikuwa bado kukamilisha mchakato wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi, waulize udom, sauti na vyuo vingine walifungua vyuo tareh ngapi. Degree utaisikia kwenye BOMBA hongera ndalichoka kuongeza pass mark za kwenda chuo kupunguza ****** kama hawa
nimemaliza degree ya pili mwaka 2013 wakati wewe ndo uko mwaka wa kwanza kwa hiyo bwana mdogo acha dharau. na kwa taarifa tuu ni kwamba nafundisha undergraduate so kama unaona shahada moja ni dili au umesoma sana polee

na hili si tatizo lako ni tatizo la BRN.
form 4 lyamungo sec Dv 1 ya 16
form 6 MZUMBE HIGH DIV 1 ya 8
 
Sasa Wewe unafundisha undergraduate halafu unawaita watu vilazi elimu yako inakupeleka wapi sina mpango wa kuweka matokeo yangu wala kazi ninayofanya ustaarabu wa mtu upimwi kwa viwango vya madarasa.
 
nimemaliza degree ya pili mwaka 2013 wakati wewe ndo uko mwaka wa kwanza kwa hiyo bwana mdogo acha dharau. na kwa taarifa tuu ni kwamba nafundisha undergraduate so kama unaona shahada moja ni dili au umesoma sana polee

na hili si tatizo lako ni tatizo la BRN.
form 4 lyamungo sec Dv 1 ya 16
form 6 MZUMBE HIGH DIV 1 ya 8
Hii misifa tu kwan ivyo vijit ulipata peke yako.
Haya tumekuona
 
UDOM itafunguliwa October 29,2015 kwa continuous ila nyie first year mtakuja on week before.
 
Kila Chuo kila kalenda yake ya masomo. Chakufanya Chuo ulichopangiwa tembelea website yao utaona tarehe ya kuanza masomo pia kwenye barua ya maelekezo ya kujiunga na chuo huwa wanaweka tarehe
 
Miaka mingap
Wakuu samahani nahitaji ushauri wenu katika hizi kozi nina gpa ya 3.9 diploma ya account toka TIA, nime apply hivi udsm bcom-accounting,udsm bcom-finance,tia-accounting,ardhi-science in accounting & finance. Kwa udsm wanatak o'level uwe na c ya b-maths sasa mimi sikupata C wakuu ila nina B+ ya bussiness maths and statistics ya diploma! je hapo mtazamo wenu naweza pata chuo wapi wakuu?. Ahsanteh
 
Kwa Zion watafungua muda si mtefu
 
Kwa rasi simba ni wakati wowote shule inatembea, hana likizo na pesa
 
Ukihitaji akufundishie nyumbani anakubali?

Si unajua wengine ni vigogo alafu inapiga chenga na kuingia class noma.
 
Back
Top Bottom