Recent content by Alwayz on top

  1. Alwayz on top

    Je, Hayati Magufuli alikabidhi nchi kwa jeshi?

    Walau wewe Mkuu umeongea Facts sana
  2. Alwayz on top

    Zifahamu Engine oil

    Kama ikisoma zaid ya Km 100,000 tutumie 5w-40 Je vipi kuhusu hali ya hewa uliyosema??
  3. Alwayz on top

    TEC yote ikimkana Papa Francis kuhusu Ndoa za Jinsia Moja tutaamini hata kwenye DP World walikuwa serious!

    Sasa Ukiona shoga Muslim ndo unamaanisha nn.. Mbona yule James Delicious ni mkristo?? Hoja hapa cyo Mtu hoja papa kasema wakatolik mbarik ndoa za Jinsia moja huko kanisan kwenu.. Angesema kiongoz wa waislam walau ndo ingekua hoja
  4. Alwayz on top

    Miaka 55 ya BAKWATA: Tujikumbushe Historia Yake na Yaliyotokea October - December 1968

    Mwalim wangu Sheikh Mohammed Said Kila Sku nakuombea kwa Allah Akupe umri mref wenye Siha Tele ili uendelee kutupa Elim yenye Manufaa,, Umetufaa wengi,tumetutoa Kizan wengi sana Na Inshallah Mola atakulipa Kheri ktk haya ya Kuutetea Dini yake kwa Kalamu yako adhim,, Npo hapa nasubiria...
  5. Alwayz on top

    Kwa sasa Usalama upo KKKT na Sabato tu, Zanzibar nako hali ni tete kwa ndugu zetu Waja wa Allah!

    Kwahyo Wakatolik wakiume wataanza Kuolewa Soon Hawawez kupinga Amri ya Kiongoz wao
  6. Alwayz on top

    Arusha: Masheikh wengine 5 wahukumiwa kifungo cha miaka thelathini jela

    Wachungaj wanaotoa waraka wa uchochez hukum Yao nn Nan kathibitsha mashekhe wamelipua hotel!??
  7. Alwayz on top

    Natunuku Picha Kushukuru Picha Niliyotunukiwa

    Nakuomba utuandikie kitabu cha Mzee mwinyi kwann baada ya nyerere kuwasumbua wazee wetu walomueka hapo je yeye alipokuwa rais kwann hakuwakumbuka wanavyostahili??
  8. Alwayz on top

    Historia ya Jumbe Mwinjuma Digosi, Sheikh Suleiman Takadir na Julius Nyerere 1954

    Mashaallah mola akuhifadh sheikh wetu,Mwalim wetu wa kutupa Elim hii
  9. Alwayz on top

    Wanawake waliopigania Uhuru lakini hawafahamiki

    Shukran sana mwalim wangu hapa JF Maalum,Sheikh Mohammad Said.. Unatupa Elim kubwa sana mola akubarik sana,akulipe Kila la Kheri Kwa Kuamua Kusema ukweli Kwa njia ya maandish... Ila nlikuwa naomba utupe history Kwann Hawa Mashujaa wetu walitolewa maksud ktk historia?
Back
Top Bottom