Recent content by alvin101

  1. alvin101

    JamiiForums Tanzania Aliyeripoti chuo CBE dodoma campus ya tuwasiliane.

    Naomba link ya cbe brother
  2. alvin101

    JamiiForums Tanzania Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Exactly ndugu yangu tulia sasa hapo usiichezeshe hyo account subiria comfimation ya chuo gan unaenda
  3. alvin101

    JamiiForums Tanzania Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Angalia profile ako itafunguka mm nmeona nshaapata chuo tho cjajua chuo gan majina ndo wamesend kwa vyuo nlivyoomba for selection
  4. alvin101

    JamiiForums Tanzania Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Me nmechek mchana ilikuwa bado ila saivi hapa saa saba hii ucku nmeingia nshapata chuo jaman..... Angalia profile zenu znafunguka saiv
  5. alvin101

    JamiiForums Tanzania Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Ahsante and hongera kaka ngoja tukipata tukasome mzee... Mungu asaidie ntatoa na sadaka fungu la kumi... maana mwaka huu majanga
  6. alvin101

    JamiiForums Tanzania Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Nlktoa hiko chuo nami nna 3.4 lakn mpk sasa hovyo kaka ngoja tuone... Rafk angu kapata hapo IAA wamefanya registration leo
  7. alvin101

    JamiiForums Tanzania Diploma to degree result

    Ulkuwa na GPA GAN??
  8. alvin101

    JamiiForums Tanzania Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Ulkuwa na GPA ngapi mzee??
  9. alvin101

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili: Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo mbalimbali nchini 2016/17

    Ebhana nmeweka machaguo matatu mzumbe mbeya ..chaguo la pili lin mzee maana tumbo moto hapa
  10. alvin101

    JamiiForums Tanzania Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Una GPA GAN?? ME PIA NKIINGIA NAONA HVYO HVYO NNA 3.2GPA
  11. alvin101

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyekuwa na GPA chini ya 3.5 kapata chuo?

    Habari jaman walioomba nacte wakitokea diploma kuna yeyote ameshapata chuo lakni mwanzo hakuwa na GPA YA 3.5? Tujuzane jaman maana mm nlkuwa na 3.4 walposhusha nkawa na uhakika wa kupata chuo ila mpk sasa naona kmya cjapata nafasi na vyuo wameshatoa matokeo yao... Msaada plz
  12. alvin101

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya maisha ya rafiki niliyesoma naye imenisononesha sana...

    [emoji22][emoji22]
  13. alvin101

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Hongera sana kaka and all the best ngoja tukapganishe hyo kesho
  14. alvin101

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Na mlkuwa wangap bachelor??
  15. alvin101

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Kwahyo mmechukuliwa wangapi hapo baada ya kuhojiwa na hyo kamati??
Back
Top Bottom