Diploma to degree result

Diploma to degree result

Wengine tumebakia kwenye provisionally selected mpaka sasa.
 
Naombeni kuuliza! Kuna jamaa yangu kaniambia kwamba haina haja ya kuchungulia ile account ya Nacte cas cha msingi ni kusubiria vyuo nilivyoapply watangaze majina .. Je ya kweli hayo
 
Naombeni kuuliza! Kuna jamaa yangu kaniambia kwamba haina haja ya kuchungulia ile account ya Nacte cas cha msingi ni kusubiria vyuo nilivyoapply watangaze majina .. Je ya kweli hayo
ndio haina haja,mm mwenye profile yangu ipo vilevile , ila jana nilitumiwa email na chuo kuwa nimechaguliwa
 
1475740185129.png
 
Cha kushangaza rafki yangu kamaliza diploma na jina lake limetoka arusha university cc wengne kulikoniii
 
Back
Top Bottom