Recent content by Alumbwagweumutwa

  1. A

    JamiiForums Tanzania Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

    Hakuna mwanasiasa mnafiki na mwenye nyodo kama lembeli. Inawezekana amehisi chama chake hakiwezi hata kudiriki kumpitisha ndiyo maana ameanza kuhaha.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Dkt.Magufuli aibukia Njombe aungana na Filipokunjombe ujenzi barabara za Liganga

    Ptuuuuuuuuu, upuuzi mtupu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Majina 403 ya wauza unga yaanikwa: Ni Watanzania waliokamatwa ughaibuni

    Unashangaa hao WASAFIRISHAJI, ngoja ubahatike kuona orodha ya WABWIAJI wa huo unga ndipo utakaposhangaa. Asilimia 99.9 ni wa mlengo wa kulia. Huoni wakati huu wa nanii, kuna utulivu mkubwa mitaani!! Hata bucha za nanii bidhaa zinalala. Zimekosa wateja.Tehe tehe tehee!!!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Maendeleo yanayotokana na wizi wa maliasili ya DRC.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    mimi nawaunga mkono kwa mbaaaaaaaaaaali.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Ebu tuache kuongeza chumvi. Risasi ikipita kwenye kifua hakuna uhai hapo.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wilson Mukama mbona hasikiki?

    Watu wa aina ya Mukama wanaotumia kichwa hawawezi kudumu ccm.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Na nembo hii hatuitaki kwenye shirikisho letu

    Ni upumbavu kichwa kujaa na fikra hizo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tanganyika na Wayahudi

    A dumb is clearly known by his/her words.
  10. A

    JamiiForums Tanzania siku uhuru kenyatta alipofunga ndoa na mke wake,zamani sana

    Where is she now?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Leo Nimeamini kuwa Hatma ya Nchi hii Ipo Mikononi mwa Vijana wa CHADEMA

    Hakika chadema ni jembe. Pamoja na ubize wangu leo nimebahatika kushuhudia LIVE wakati wabunge wa chadema wakichangia makadirio ya bajeti ya ofisi ya rais. Nimejionea mwenyewe namna vijana wa chadema wanavyolichachafya bunge kwa masuala mazito na muhimu katika taifa letu. Kwa kweli inaleta raha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete awaita Ikulu waliohusika na uokoaji ktk ghorofa lililondondoka

    Ukifikiria hivi inasikitisha zaidi.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Ni mtu mpumbavu tu anayeweza kushangalia maghorofa marefu akidhani ndiyo maendeleo. Ndiyo maana wengi wetu tumechoka na hiki chama kinacholeta maendeleo ya vitu badala ya watu.
Back
Top Bottom