Recent content by altaaf

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

    Yale maisha bora kwa kila mtanzania alitufikisha wapi ? Awache mzaha kakosa mvuto .
  2. A

    JamiiForums Tanzania Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

    Hawa CCM inaonekana wamechanganyikiwa hasa kule Zanzibar waliufuta uchaguzi 2015 bila aibu. Wakaachiwa serikali peke yao bado wameshindwa kutengeneza mazingira mazuri , wamejisahau miaka 5 sasa hivi wantaka kuleta maafa na hii ni aibu kwa serikali ya mapinduzi na serikali ya muungano ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mnatia aibu kwa kulazimisha ushindi wa mapingamizi

    Tanzania tunakoelekea sio mbali nchi zilizo pata matatizo na vita duniani ni viongozi kulazimisha kubakia madarakani huku wakidhani yakitokea matatizo watabaki salama. Haijawahi kutokea uhuni huu tokea siasa za vyama vingi viasisiwe Tanzania wapo viongozi walio tangulia kutoa angalau ushauri...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Mpemba humu...!!Acheni Ubaguzi Shenzi Nyie

    POLE SANA KWA MASAHIBU LAKINI UNAONEKANA UNA MATATIZO YA UELEWA . 1 BABA YAKE ANAINGIA VIPI HAPO KAMA NI KWELI HUONI UNGEKARIBISHA AIBU NYUMBANI KWENU ? 2 WATU WA BARA HASA WAGENI KUTOKA MIKOANI WANSHINDWA KUELEWA NI NANI MPEMBA WAO WANAELEWA MPEMBA NI KILA MZANZIBAR MPEMBA HALISI NI YULE...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Cape Town na masahibu ya wenye nchi

    wakosa uhakika wanatahiri katika huo umri na wale wasiotahiriwa huwa wanaita mangwengwe ndio jina lao.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Cape Town na masahibu ya wenye nchi

    kipindi hicho niliishi pale Mannenberg . warangi rangi hawana akili hata kidogo kuna wale vichaa wa hanover park ,athlone haiderfield na wood stock bila kuwasahau wa salt river . Cape town ni moja atika miji hatari sana .
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Cape Town na masahibu ya wenye nchi

    BAHARIA KUNJANI WENA . HAYA TUAMBIE UNAISHI WAPI BAHARIA .UMENIKUMBUSHA NIWAZE MAENEO YA GUGULETHU, KHAELITSHA. LANGA ,NYANGA ,PHILIPI ,MANDALAY ,NOKBELO NA MENGINEO DUH WATU WEUSI NOMA SANA UKIZUBAAA WANAKUDUNGA MCHANA KWEUPE .WARANGI RANGI NDO HAWAFAI HATA DAKIKA MOJA . HAPA NAZUNGUMZIA...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Bombardier: Kwanini ndege hii imechukua siku 5 kutoka Canada hadi Tanzania?

    Hapa isijekua ya kile kivuko cha Dar to Bagamoyo watu wanafika Zanzibar na kurudi Dar hakijafika Bagamoyo na kiliishia wapi kile kivuko wa Tanzania tusiwe wasahaulifu .
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    HIVI HUYU MKUU WA MAJESHI HAJAWAHI KUSIKIA KUNA WATU WASIOJULIKANA ? PIA HAJAWAHI ONA DEMOCRACY IKICHEZEWA KWA MAKUSUDI LEO IMEFIKIA HATA CHAGUZI NDOGO WATU KUULIWA NA KUTIWA VILEMA ? JESHI LA POLISI LIMESAHAU MAJUKUMU YAO LIMEKUA TAWI LA CCM ? AKILI HANA BASI HATA PICHA HAONI ?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa TRA, Hassan Abuutwalib (Kiringo) ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kulawiti Mtoto

    Kunguru Mjanja Huyu jamaa pamoja na yote anambiwa lakini ni mchicha mwiba analiwa na yeye vile vile jamaa kwa ufupi ameathirika kisaikolojia kwa sababu alipokua anainukia wenzake walikua wanamshughulikia Hata huyo mzeealielawitiwa mwanawe kwani mumemsahau ? Alikua anakata mauno kwenye bunge la...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna starehe inayozidi ngono(sex) hapa duniani?

    TUMBO LA KUHARISHA
  12. A

    JamiiForums Tanzania NINI FAIDA YA KUFANYA MAPENZI

    hizo bangili zinaonyesha wewe mzoefu katika fani :D:D:D
  13. A

    JamiiForums Tanzania JB: Simfahamu Ney wa Mitego wala sisikilizagi Bongo Fleva

    ATAKUA NI MMOJA WA MATAAHIRA ANATHIBITISHA MCHANA KWEUPE
  14. A

    JamiiForums Tanzania Dada anusurika kufa kwa kujitupa baharini leo akitoka Dar kwenda Zanzibar

    HICHI KITOTO KITAKUA KINASUMBULIWA NA MASHETANI YA KIBUKI SHANGAZI YAKE NDO FUNDI MKUBWA WA VIBUKI BI MTEMBEZI . KILA WIKI ANAKUSANYA WATOTO WADOGO NA MAKAKA POA AKIWAPUNGA VIBUKI.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Afya ya akili chunguzeni huyu mtu tafadhali.

    Nimejaribu kurejea ulichoandika mara 4 lakini sijakuelewa point yako lakini ntarudia tena asubuhi labda usingizi unakaribia .
Back
Top Bottom