Recent content by Alpha Malima

  1. Alpha Malima

    Niko Jangwani Nashukuru Maji Msimbazi

    Duuh ngoja nirudie tena
  2. Alpha Malima

    Dark days 17/03/20...

    Halafu the unknown hajonekana mda mref public cjui yupo wap?
  3. Alpha Malima

    Series (Special thread)

    The blacklist s8 is back.... Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
  4. Alpha Malima

    Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

    Siasa ni sabuni ya kusafisha mabaya kuwa mema na wakati huohuo kufanya mema yaonekane mabaya wakati mwingine siasa ni kucheza tu na akili za watu
  5. Alpha Malima

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna mix tape cjui ni albam walotoa tmk family enz zle za mikanda ya tofali kuna wimbo ulikua unaitwa rahabu aliyenao tafadhali
  6. Alpha Malima

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo flan wa gospel umeimbwaa na mkenya beat yake inaanza kama na kengele hivi na baadh ya msneno nnayoyakumbuka ni. "wakristo tukaze mwendo shina na njaa vitakwisha" sijui kama nimepatia sana hayo maneno ila mashairi yake yalihusu sana mateso walokua wakipata watumish wa Mungu
  7. Alpha Malima

    Kadri utakavyoangalia picha hii ndivyo utakavyogundua matukio zaidi

    Hyo meza ya kipofu kama haina miguu hivi
  8. Alpha Malima

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo huwa nautafta ila siujui hata jina ila una meneno haya "nitaliaa... Nitakapockia... Nmeunganishwa na jina lako" ameimba dada mmoja hata cmkumbuki jina mwenye kuujua tafadhali.....
  9. Alpha Malima

    Nini chanzo Cha ajali kwenye hii picha

    Chanzo cha ajali itakuwa n mapendekezo tu ya mchoraji mwenyewe ila hzo skeleton sasa
  10. Alpha Malima

    Pandora box ( Sanduku la Pandora)

    Sijui nmefata nini huku jamani ngoja nwàache wenye fani zao Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Alpha Malima

    Series (Special thread)

    Hao ni watu wawili tofauti ambao wote ni ma cicada
  12. Alpha Malima

    Nataka kwenda Dubai au China kununua simu nipeni maelekezo mliowahi kwenda

    Ah nmefatilia reply zote mkuu bado hajapata alichokua anakitaka wale wazoefu jmn msiwe wachoyo wa maarfa leten vtu hapa wote tufaid
  13. Alpha Malima

    Nichomoe betry ?

    Asa ulichukua video ya nn au unjickiaje ukiwa unaiangalia sasa ahhh yan had nmechukia aisee futa bhan.....
  14. Alpha Malima

    Mwongozo ambao utakuambia kuwa kuku wako ni wagonjwa

    Umeandika vzr tu tatzo hayo magonjwa hujaelezea kwa kina nikimaanisha chanzo usambaaji tiba na kinga au chanjo wengne hayo majina ya kitaalam hatuyaelew
Back
Top Bottom