Sio lazima Dar es salaam, ila itapendeza ikiwa Dar ili aweze kuisimamia kwa karibu.
Honestly,sio Mimi mkuu. Ila ameniomba nimpe wazo nikakwama,ndio maana nikaleta hapa.
Habari za leo wakuu,
Kuna rafiki mmoja yupo Dar es salaam n Ni mfanyakazi katika ofisi ya kampuni Fulani, anatamani Sana kuanzisha biashara ndogo itakayompatia walau kipato Cha ziada ili kumudu mahitaji yake zaidi ya kutegemea mshahara.
Mpaka Sasa ameweza kuhufadhi Tsh. Milioni tano ila Hana...
Naomnba kufahamu. Ni faida zipi tutazipata kama tukifahamu ukweli juu ya historian ya mwanadamu?? In hasara gani kama hatutafahamu?? Kuna haja gani ya kudanganyana kama hatujui uhakika? Nadhani no bora watu wanaofanya chunguz hizo wasitoe conclusion bila uhakika Bali waache changamoto kwa wasomi...
Nadhani viongoz na wadau wakae chini na kuona suluhisho bora na la kudumu juu ya swala la mimba kwa wanafunz...Wafanye uchunguzi waone visababishi vikuu na kubuni namna ya kupambana navyo kama vile kuhakikisha watoto wa kike wanapata mahitaji yao muhimu kwa wakati ili wasidanganywe hovyo na Pesa...
Yani huo utafiti hata kama ulishushwa kutoka peponi siwezi kukubaliana nao kutokana na kua ukweli unaonekana machoni pa wazalendo wote....Twaweza ni watu ambao kamwe hawataweza kubadili watu kwa maandishi yao.May God bless our President and give him more strength to liberate Tanzania.Wasiopenda...
Swali hili limekua kwenye akili Yangu kwa muda mrefu ingawa Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa.
Mara nyingi nimekua nikitizama hoja mbalimbali za wanasiasa na kujifunza mengi.Lakini nikiwa kama mdau wa amani na maendeleo chanya nimekua nikikerwa sana na hoja na jinsi ya uwasilishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.