Kwanini siwapendi wapinzani?

Aloyce Urassa

Member
Jun 13, 2017
18
45
Swali hili limekua kwenye akili Yangu kwa muda mrefu ingawa Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa.
Mara nyingi nimekua nikitizama hoja mbalimbali za wanasiasa na kujifunza mengi.Lakini nikiwa kama mdau wa amani na maendeleo chanya nimekua nikikerwa sana na hoja na jinsi ya uwasilishaji wa hoja za wapinzani.

Mara nyingi zinatolewa katika hali ya hasira ambapo hata haikustahili kua hivyo,wskati mwingine ni za kuchochea na wakati mwingine nimegundua kwamba wapinzani hawapo tayari kuona mambo mazuri yakifanywa na serikali ya nchi yetu Bali wapo tu kutafuta kasoro ili wapate ya kuzungumza mbele ya watu.

Hata kwenye kampeni wanashindwa kupata kura za waelewa kutokana na kutoa hoja za kuponda wengine badala ya kusema ni nini wao watafanya ili sisi wapiga kura tujaribu kulonganisha hoja.

Pua maamuzi yanayofanywa Mara nyingi juu ya mambo ya msingi yanakua sio ya busara.Kwa mfano kutaka kufanya maandamano ili kutetea demokrasia.Walijaribu kushawishi vijana wengi ingawa baadae yaliahirishwa.

Nilijaribu kujiuliza "Hivi Yale maandamani yalikua yalete demokrasia au yakuproove kwamba hakuna demokrasia???" Jibu lilikua ni kuproove hakuna demokrasia na kusababisha chuki zaidi kati ya wananchi na serikali yao.

Ni kweli yapo makosa yanayofanyika na serikali lakini maamuzi mnayochukua dhidi yao yasiwe na adhari kwa wananchi.Wananchi wanahitaji basic needs zao( chakula,mavazi,makazi,malazi,amani) na kutazama binge live sio LA msingi sana wakati chakula hamna.

Teteeni maslahi ya msingi kwanza!! Na msihalalishe jambo baya ili tu kuonesha udhaifu wa serikali....Kwa watawala teteeni ukweli na sio maslahi yenu binafsi.........NIWAOMBE RADHI NILIOWAKERA.
 
Aloyce Urassa

Member
Jun 13, 2017
18
45
Kama unashndwa kuelewa hoja za wapnzan afu unaelewa hoja za akina lusinde bas nakushaur umtafte doctor
Nazielewa sana....na ndio maana nikaweza kufanya 'conclusion'..na sio kwamba nazielewa sana za watawala ila tu angalao zinalenga mambo ya msingi
 
kigongoi

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
395
250
Swali hili limekua kwenye akili Yangu kwa muda mrefu ingawa Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa.Mara nyingi nimekua nikitizama hoja mbalimbali za wanasiasa na kujifunza mengi.Lakini nikiwa kama mdau wa amani na maendeleo chanya nimekua nikikerwa sana na hoja na jinsi ya uwasilishaji wa hoja za wapinzani.Mara nyingi zinatolewa katika hali ya hasira ambapo hata haikustahili kua hivyo,wskati mwingine ni za kuchochea na wakati mwingine nimegundua kwamba wapinzani hawapo tayari kuona mambo mazuri yakifanywa na serikali ya nchi yetu Bali wapo tu kutafuta kasoro ili wapate ya kuzungumza mbele ya watu.Hata kwenye kampeni wanashindwa kupata kura za waelewa kutokana na kutoa hoja za kuponda wengine badala ya kusema ni nini wao watafanya ili sisi wapiga kura tujaribu kulonganisha hoja.Pua maamuzi yanayofanywa Mara nyingi juu ya mambo ya msingi yanakua sio ya busara.Kwa mfano kutaka kufanya maandamano ili kutetea demokrasia.Walijaribu kushawishi vijana wengi ingawa baadae yaliahirishwa.Nilijaribu kujiuliza "Hivi Yale maandamani yalikua yalete demokrasia au yakuproove kwamba hakuna demokrasia???" Jibu lilikua ni kuproove hakuna demokrasia na kusababisha chuki zaidi kati ya wananchi na serikali yao.Ni kweli yapo makosa yanayofanyika na serikali lakini maamuzi mnayochukua dhidi yao yasiwe na adhari kwa wananchi.Wananchi wanahitaji basic needs zao( chakula,mavazi,makazi,malazi,amani) na kutazama binge live sio LA msingi sana wakati chakula hamna.Teteeni maslahi ya msingi kwanza!! Na msihalalishe jambo baya ili tu kuonesha udhaifu wa serikali....Kwa watawala teteeni ukweli na sio maslahi yenu binafsi.........NIWAOMBE RADHI NILIOWAKERA.
Na wapinzani hawaipendi ccm nadhan ngoma droo
 
Gyole

JF-Expert Member
Sep 20, 2013
6,909
2,000
Kama hujatumwa basi una matatizo ya uelewa, maana hata waliokimbia umande wanawaelewa wapinzani, cha kuanzia nakushauri kasome katiba ufahamu hata nini maana ya maandamano
 
GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,684
2,000
Eti hoja za wanaccm zinalenga mambo
ya msingi. Wewe utakuwa ni mzee, huna elimu, mwanamke au ni mtu wa kijijin ktokana na utafiti wa twaweza. Hatujawatuma wala sio wajibu wa wapinzan kuongea kwa kubembeleza pale bungen kama walvo ccm ambao leo wanajiita wazalendo
 
Ilitarakimura

JF-Expert Member
Feb 7, 2016
2,511
2,000
Huo ni unafiki,et sina Chama lakin nawachukia upinzani!,we ni Ccm tu maana hoja yako yenyewe haina tofaut na akina Lusinde,Msukuma,Kessy na wengineo
 
Abdallahkova

JF-Expert Member
Apr 19, 2017
1,138
2,000
Nazielewa sana....na ndio maana nikaweza kufanya 'conclusion'..na sio kwamba nazielewa sana za watawala ila tu angalao zinalenga mambo ya msingi
Kweli zamsingi sana.. Wapinzani hata mimi nawachukia sana ..angalia kwanza walivolitia taifa hasara kutuingiza kwenye mikataba mibovu.... Tumeibiwa rasilimali zetu hawa wapinzani wakichekelea....tumeibiwa mahela kibao kisa hawa wapinzani.. Mm nakuunga mkono mtoa mada tuungane kuwachukia hawa wapinzani.
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,304
2,000
Swali hili limekua kwenye akili Yangu kwa muda mrefu ingawa Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa.Mara nyingi nimekua nikitizama hoja mbalimbali za wanasiasa na kujifunza mengi.Lakini nikiwa kama mdau wa amani na maendeleo chanya nimekua nikikerwa sana na hoja na jinsi ya uwasilishaji wa hoja za wapinzani.Mara nyingi zinatolewa katika hali ya hasira ambapo hata haikustahili kua hivyo,wskati mwingine ni za kuchochea na wakati mwingine nimegundua kwamba wapinzani hawapo tayari kuona mambo mazuri yakifanywa na serikali ya nchi yetu Bali wapo tu kutafuta kasoro ili wapate ya kuzungumza mbele ya watu.Hata kwenye kampeni wanashindwa kupata kura za waelewa kutokana na kutoa hoja za kuponda wengine badala ya kusema ni nini wao watafanya ili sisi wapiga kura tujaribu kulonganisha hoja.Pua maamuzi yanayofanywa Mara nyingi juu ya mambo ya msingi yanakua sio ya busara.Kwa mfano kutaka kufanya maandamano ili kutetea demokrasia.Walijaribu kushawishi vijana wengi ingawa baadae yaliahirishwa.Nilijaribu kujiuliza "Hivi Yale maandamani yalikua yalete demokrasia au yakuproove kwamba hakuna demokrasia???" Jibu lilikua ni kuproove hakuna demokrasia na kusababisha chuki zaidi kati ya wananchi na serikali yao.Ni kweli yapo makosa yanayofanyika na serikali lakini maamuzi mnayochukua dhidi yao yasiwe na adhari kwa wananchi.Wananchi wanahitaji basic needs zao( chakula,mavazi,makazi,malazi,amani) na kutazama binge live sio LA msingi sana wakati chakula hamna.Teteeni maslahi ya msingi kwanza!! Na msihalalishe jambo baya ili tu kuonesha udhaifu wa serikali....Kwa watawala teteeni ukweli na sio maslahi yenu binafsi.........NIWAOMBE RADHI NILIOWAKERA.
Umewakilisha kundi lililotajwa na TWAWEZA-la wajinga! Kama kwenye mikutano ya kampeni ya wapinzani huwa husikii wakisema watafanya nini wakipewa madaraka basi wewe utakuwa ni mjinga tu, na kama huoni umuhimu wa Bunge Live lakini unaona umuhimu wa Makinikia Live, hakuna namna ni lazima utakuwa ni mjinga tu! Unadai wananchi wanahitaji basic needs ambazo kwa ujinga wako zinaishia kuwa ni chakula, mavazi, makazi ,malazi na amani-wala kwako uhuru wa maoni sio basic need. Mjinga ni yule anayedhani ana amani huku akiwa hayuko huru. Serikali ilipovuruga mfumo wa elimu iliangamiza taifa hili!
 
DENLSON

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
381
500
Twaweza walitoa majibu uwapendi kwa sababu labda ni mwanamke, mzee, masikini au huna elimu.
 
kigongoi

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
395
250
Kweli zamsingi sana.. Wapinzani hata mimi nawachukia sana ..angalia kwanza walivolitia taifa hasara kutuingiza kwenye mikataba mibovu.... Tumeibiwa rasilimali zetu hawa wapinzani wakichekelea....tumeibiwa mahela kibao kisa hawa wapinzani.. Mm nakuunga mkono mtoa mada tuungane kuwachukia hawa wapinzani.
Mkuu umemaliza kweli wapinzani wametuibia sana mikataba hovyo
 
mbikagani

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,977
2,000
Ni mbaya sana kujionyesha hapa kuwa wewe ni mmoja kati ya wale waliotajwa na TWAWEZA kuwa wanaipenda ccm.

Anyway,
Kukusaidia tu tafuta kijarida chochote kinachoelezea vyama vya upinzani ni nini, lengo lao na kazi zao.
I'm sure ukisoma vizuri na kulielewa, utakuja hapa mbio na kulitoa hili andiko lako hapo.
Swali hili limekua kwenye akili Yangu kwa muda mrefu ingawa Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa.
Mara nyingi nimekua nikitizama hoja mbalimbali za wanasiasa na kujifunza mengi.Lakini nikiwa kama mdau wa amani na maendeleo chanya nimekua nikikerwa sana na hoja na jinsi ya uwasilishaji wa hoja za wapinzani.

Mara nyingi zinatolewa katika hali ya hasira ambapo hata haikustahili kua hivyo,wskati mwingine ni za kuchochea na wakati mwingine nimegundua kwamba wapinzani hawapo tayari kuona mambo mazuri yakifanywa na serikali ya nchi yetu Bali wapo tu kutafuta kasoro ili wapate ya kuzungumza mbele ya watu.

Hata kwenye kampeni wanashindwa kupata kura za waelewa kutokana na kutoa hoja za kuponda wengine badala ya kusema ni nini wao watafanya ili sisi wapiga kura tujaribu kulonganisha hoja.

Pua maamuzi yanayofanywa Mara nyingi juu ya mambo ya msingi yanakua sio ya busara.Kwa mfano kutaka kufanya maandamano ili kutetea demokrasia.Walijaribu kushawishi vijana wengi ingawa baadae yaliahirishwa.

Nilijaribu kujiuliza "Hivi Yale maandamani yalikua yalete demokrasia au yakuproove kwamba hakuna demokrasia???" Jibu lilikua ni kuproove hakuna demokrasia na kusababisha chuki zaidi kati ya wananchi na serikali yao.

Ni kweli yapo makosa yanayofanyika na serikali lakini maamuzi mnayochukua dhidi yao yasiwe na adhari kwa wananchi.Wananchi wanahitaji basic needs zao( chakula,mavazi,makazi,malazi,amani) na kutazama binge live sio LA msingi sana wakati chakula hamna.

Teteeni maslahi ya msingi kwanza!! Na msihalalishe jambo baya ili tu kuonesha udhaifu wa serikali....Kwa watawala teteeni ukweli na sio maslahi yenu binafsi.........NIWAOMBE RADHI NILIOWAKERA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom