Recent content by Alola

  1. Alola

    Naomba msaada kuhusiana na swala la website

    Salaam Mkuu! a) Website inapaswa kutengenezwa kulingana na mahitaji ya mteja (Website Requirements Specification). Suala la kwamba imetengenezwa from scratch au imekuwa customized inaweza isiwe issue sana so long as mahitaji yako yamekuwa fulfilled. Kwenye haya mambo ya Web/App developments...
  2. Alola

    Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

    Sijajifananisha mkuu...nimetoa tu uzoefu na angalizo la kuto kukariri...
  3. Alola

    Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

    Hakika, kuna mambo mengi yanayoweza pelekea mtu kuwa hivyo e.g. vinasaba, uzembe wa kutokuzingatia lishe bora, kutofanya mazoezi, umri na kushuka kwa uwezo wa kumeng'enya wanga/wese, n.k. Pia si kila asiye na kitambi yuko "fiti" na si kila aliye na kitambi hana "fiziki"....unaweza aibika...watu...
  4. Alola

    Niwasiliane vipi na utumishi? Nimeonewa kwenye swala la ajira

    https://emrejesho.gov.go.tz/tenganisha_aina_za_walalamikaji?PQI70xlXGIGpQajIcg16EMX74XYFJZf9NV6nrjnzNiHgtt6Iqhlm6VYeXW2vhplQ&to_this_inst=32$PQI70xlXGIGpQajIcg16EMX74XYFJZf9NV6nrjnzNiHgtt6Iqhlm6VYeXW2vhplQ
  5. Alola

    Sijielewi, "Personalities" zangu zinanichanganya

    “When you’re 20 you care what everyone thinks, when you’re 40 you stop caring what everyone thinks, when you’re 60 you realize no one was ever thinking about you in the first place. You have enemies? Good. That means you’ve stood up for something, sometime in your life.” — Winston Churchill
  6. Alola

    Mke akiwa Rais mume wake anaitwaje?

    First Gentleman
  7. Alola

    Mimi binafsi Sina furaha na maisha yangu very dissappointed

    Mkuu, rejea tafsiri ya ujumbe wa kwenye hizo picha. wewe ndiyo muamuzi wa mwisho kuhusu yanayoendelea kwenye hisia zako.
  8. Alola

    Mambo 15 ya kufanya kupata hati mpya ya kusafiria

    Mkuu unachosema ni muhimu sana. Changamoto ni kua hao watu wa e-Govt. bado ni Wakala, taasisi changa na ndiyo sheria ya kuwafanya mamlaka imesainiwa lakini bado hawajatangazwa kwa kauli ya Waziri. Kwahiyo hata wanaposhauri taasisi zibadilishane taarifa au kuunganishwa muitikio bado ni mdogo...
  9. Alola

    Frank W.A: Mhalifu tapeli mwenye akili aliyesumbua dunia na mwishowe kuja kuajiriwa na FBI

    Movie yake inaitwa "Catch Me If You Can" Di Caprio & Tom Hanks
  10. Alola

    Jinsi cia alivyo iba teknolojia ya ussr

    Nyongeza...angalia movie Hidden Figures
  11. Alola

    Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

    vitu vingi vibaya wamevihusisha na black...black leg, black list, black hat, black market, black money....and then a black man...vizuri wameviita white ....white hat, white list...imefanyika makusudi
  12. Alola

    Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Mkuu zipo sanaa za mapigano za kiafrica sema hazijapata nafasi: Musangwe ...Istunka. ...Dambe. ...Engolo or Ngolo. ...Lutte Traditionnelle. ...Nuba Wrestling. ...Tahtib. hizo ni kwa uchache
  13. Alola

    Mwenzenu sipendi sherehe kabisa. Je, nipo sahihi au nakosea?

    Mkuu..yawezekana wewe ni Introvert (reserved)..sasa kuna matatu; 1. Kutopenda mikusanyiko (social gathering) ni jambo la kawaida kwa hao watu...wanachuma nishati nyingi wakiwa peke yao (alone) au kwa kwa aghalabu na watu waliowazoea sana...kwahiyo akikaa kwenye shamra shamra kwa masaa kadhaa...
Back
Top Bottom