Recent content by allyyusuphy5

  1. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Natafuta matikiti maji ya aina hii

    Nimeona kwenye mtandao yanalimwa china nikadhani na bongo yapo
  2. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya bandari Mbeya yamuibuwa mwanazuoni mbobezi wa IGA duniani Johanne Poirier

    Siku zote nasemaga unawezaje kung'ang'ania kukupinga kitu ambacho wewe mwenyewe unajua kabisaa hapa sitoboiii
  3. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Bunduki aina mbalimbali

    Waarabu hata Al Shabaab wanazipenda sana
  4. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Sasa na utu kazi wake ipo day watamfanya vibaya
  5. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Wanazidi mno wanashindwa kutulia na familia zao
  6. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Bunduki aina mbalimbali

    Hiyo ni noma makundi ya kigaidi yanazipenda sana
  7. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Kuna muda inabidi utulizwe sasa kwa kuendekeza kung'ang'ania vitu visivyowezekana
  8. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Natafuta matikiti maji ya aina hii

    Kwema jamani humu ndani. Vipi kwa hapa bongo haya matikiti yanapatikana wapi?
  9. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Bunduki aina mbalimbali

    Mr weka majina hili tuelewe
  10. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Ukoloni na biashara ya utumwa(waarabu)

    Kaka mkubwa jitahidi kusoma historian kwa makini hapo ndo utajua vyema nani ana uhafadhari ila kumbuka ukoloni ni ukoloni tu
  11. allyyusuphy5

    JamiiForums Tanzania Ukoloni na biashara ya utumwa(waarabu)

    Duh yamekua hayo tena
Back
Top Bottom