Ni mtazamo wangu kuwa
"Wanawake wanatabia zinazoshahabiana na wenye siri kubwa sana"
Zingatia unapojaribu kumbadilisha tabia mwanamke kuwa mvumikivu na subira maama si kila tabia ya mwanake inabadilika.Pia kaa ukijua anasiri kubwa katika uhusiano wenu ambao wewe ujui kuhusu yeye na usijtie kujua...
kwanza teh teh pili pole sana kwa kuugua tatu maelezo yako ya hapa nimesoma ndani dk 1 nimeelewa 100% sasa mi nakushauri kamueleze daktari kama ulivyoeleza hapo juu namiini ataelewa kwasababu yeye anayo elinu ya kuelewa zaidi na usihofie kutoka nje nchi kwani bado atabaki kuwa ni daktari tu.
pole sana mara nyingi watoto wanasumbua sana ktk suala la kupata choo ila binafsi kuna mafuta yazaituni niliona wanamywesha kijiko kimoja kwa kutwa kila asubuhi akaanza kupata choo baada siku moja.jaribu hayana madhara kiafya ni tiba pia
Naomba msaada huwa mara nyingi au kila siku kulala kwangu ni kwa shida sana yani sipati usingizi ata nikachoka baada ya majukumu mchana nitalala kwa shida pia sichelewi kustuka usiku na nisipate usingizi inafika wakati kichwa kinauma kwa ajili iyo.
Nini tiba yake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.