Story za kwenye vijiwe vya kahawa hivyo, kwa nini Robanda na sio Park nyigoti? serikali imejenga Mahakama ya mwanzo Robanda mwaka juzi tu, ingekuwa na nia ya kuwaondoa wananchi kwa nini waendeleze makazi na huduma za kijamii? Fort Ikoma ni kambi na nadhani ndo makao makuu ya jeshi la maaskari...
Na kwa sasa Rais yuko na AG ambaye kiukweli ashindwe yeye tu, ila sidhani kwa sasa ataweza kuondoka ofisini as nadhani yuko na kazi maalumu alokabidhiwa kurekebisha, huenda siku za usoni tutamuona akizunguka na Rais, kweli inashangaza Rais anaenda safari za kikazi nje ya nchi na huko wanaingia...
CDF wala IGP hapashwi kumpigia salute mkuu wa wilaya, kwa IGP PGO inamtaka kumpigia salute kuanzia RC, hapo CDF hajapiga salute bali kapokea salute na ndo sababu unaona yuko mguu pande.
Kweli humu kumejaa mitoto, hili nalo ni swala la kujadili humu leo, kwamba kweli hukujua jengo litaonekana vipi ulipoambiwa na JPM anakopi na kupaste ile ya Magogoni? kwa nini hukuuliza kipindi kile? Pathetic....
Hahahaaaa...haya mabwa.wa yanachekesha sana, yani yeshajiona yenyewe ni special sana na ndo yanayostahili haki, Mbowe akikomiti a criminal offence kaonewa, akikomiti mwingine ni jambazi afungwe, ingieni field tukeni nyuma ya kibodi muone "watanzania" ni akina nani.
Taa.hira wewe huna unachokifahamu, unadhani Mbowe kuwa mpole mchezo enh? jinai haifi, muulizeni kuhusu tindikali Tabora, ugaidi Mwanza na mabomu ya Arusha bado ya Lwakatare, kumbuka wakati huo DPP alikuwa Jaji Feleshi ambaye kwa sasa ndo AG, kumbuka kwenye kikao na Rais AG alikuepo pia, kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.