Recent content by ally pazy

  1. ally pazy

    Paka wangu anazaa mnoo, nifanyeje wadau?

    Mpeleke hospital wakamtoe kizazi!!!
  2. ally pazy

    Mtulia rasmi CCM, poleni mliofanya harakati juu yake 2015

    "Nimejivua nyadhifa zangu zote ya Ubunge wa Kinondoni na vyeo vyote nilivyokuwa navyo CUF na kuamua kujiunga na CCM kutokana na kuridhishwa na CCM ya sasa na utendaji wa Rais Dk. Magufuli" - Mtulia "Mimi ni mgeni na salamu ninayoijua ya CCM ni CCM Oyeee" - Mtulia "Nimejiunga na CCM ili kuunga...
  3. ally pazy

    Jamani hivi movie hizi kacheza nani?

    Kumbe we mhenga
  4. ally pazy

    Jamani hivi movie hizi kacheza nani?

    Bloodsport (1988) Kickboxer (1989) Lionheart (1990) Double Impact (1991) Universal Soldier (1992) Hard Target (1993) Street Fighter (1994) Timecop(1994) Sudden Death (1995) JCVD(2008) The Expendables 2(2012).
  5. ally pazy

    Mjue Charlie Chaplin, mwigizaji wa zamani

    Huyu jamaa ana vituko sana
  6. ally pazy

    Double deka zinauzwa

    Umenistua nilijua REDIO
  7. ally pazy

    Tetesi: Wazimbabwe hawatakuwa salama wakimbeza Mugabe

    WA N A N C H I wa Zimbabwe wameaswa kumheshimu Rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe kutokana na kiongozi huyo kutumia muda mwingi wa maisha yake kushughulikia matatizo ya nchi hiyo, licha ya changamoto za hapa na pale. Miongoni mwa mambo yanayotajwa kufanywa na Mugabe kwa nia ya...
  8. ally pazy

    Dah hii dharau!

    Hapo kuna mtu kabeba kiatu kilichovaliwa na binadamu
  9. ally pazy

    Dah hii dharau!

  10. ally pazy

    Tetesi: MWANDISHI NA MFUGAJI

    MWANDISHI:Habari yako mzee, kwani Ng'ombe wako huwa unawalisha nini? MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia,? Mweupe au mweusi? MWANDISHI:Mweupe. MZEE:Huyo namlisha majani. MWANDISHI:Na mweusi!!!? MZEE:Namlisha majani pia. MWANDISHI:Umeanza kufuga lini hawa Ng'ombe wako? MZEE:Ng'ombe yupi...
  11. ally pazy

    Rais Robert Mugabe ahutubia taifa, akataa kujiuzulu na kasema ataongoza mkutano mkuu wa chama chake mwezi ujao

    Mzee huyu wa miaka 93 amekubali kujiuzulu na usiku wa leo anatarajiwa kulihutubia taifa lake. Huyo aliyeko kushoto kwake ndiye amerahisisha ANGUKO lake, mwanamama huyo alitaka ahongwe URAIS na u-AMIRI JESHI MKUU plus nguvu ya kuendelea kuizamisha Zimbabwe kama mume wake. Huku Bongo hongo...
  12. ally pazy

    Punguza marafiki wasio na manufaa

    *PUNGUZA MZIGO, PUNGUZA MARAFIKI FEKI PUNGUZA KABISA TENA WAPUNGUZE SANA TU;WAPUNGUZE ILI UWE MWEPESI* *Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" Punguzaaaa!* *Punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguzaaaa!* *Punguza marafiki ambao...
Back
Top Bottom